man utd.jpg
 
Naona Evra ame trend! Kuna nini kuhusu Evra?
Niliona mahala akirusha madongo kwa Sanchez kuwa alifuata pesa united na si kweli kuwa anaipenda klabu tokea utotoni kama alivyowahi kujinasibu.
Pia alikuwa anaongelea issue ya pogba na shabiki akiwa upande wa pogba.
 
Kuna wachezaji kadhaa kila kona naona wanazungumziwa sana kwenda united
Bruno Fernandes
Adrien Rabiot
Joao Felix
Paulo Dybala
Diego Godin
Maguire
Sancho
Coutinho
Tielemans (wa king power stadium huyu)
Kwa rumazi zote hizo, hatutashangaaa tukatoka empty
 
Duniani kwa sasa kila mchezaji anahusishwa kujiunga na man united

Kuna wachezaji kadhaa kila kona naona wanazungumziwa sana kwenda united
Bruno Fernandes
Adrien Rabiot
Joao Felix
Paulo Dybala
Diego Godin
Maguire
Sancho
Coutinho
Tielemans (wa king power stadium huyu)
Kwa rumazi zote hizo, hatutashangaaa tukatoka empty

Mawakala ni Wajanja Wameshaona hapo pana hela za kupiga na kuondoka zao!
Kwahiyo wanatumia Media Kuhype wachezaji wao ili muingie kichwakichwa wavute hela ndefu.
Si munakumbuka last season mulipotaka kupigwa kwa Harry Maguire wa Leicester City kwa £80m baada ya kupigiwa debe na Media?

Sasa hao madogo hao pameshategwa Mpunga hapo.
 
zimebaki siku mbili kabla dirisha la usajili kufunguliwa ligi kuu England. United bado haina head of recruitment.
wakati huo huo ED Woodward kuna kipindi alikaririwa akisema hatafanya makosa aliyofanya kwa Sanchez, ila bado anarudia yale yale naweza sema anakula matapishi yake kwa huyu Pogba. Kuna vyanzo vinasema Solskjaer amemwambia mtendaji mkuu wa United kama Pogba anataka kwenda amuache aende lakini yeye anamuangalia Pogba kwenye mambo ya biashara na anataka kumuongezea mkataba hili ni KOSA alilosema hatalirudia.
wakati huo huo, wachezaji wa United wamepewa likizo mpaka july na kocha amewaambia kila mtu achukue kila kitu chake wasiache hata kimoja kwa maana baadhi ya wachezaji hawatarudi tena pale AON complex.
OGS anataka kumuacha Martial

Joel Glazer amemwambia huwezi kumuacha, huyo ndio Pele wetu

Hivyo ndio namna timu yetu inavyoendeshwa
 
Kuna wachezaji kadhaa kila kona naona wanazungumziwa sana kwenda united
Bruno Fernandes
Adrien Rabiot
Joao Felix
Paulo Dybala
Diego Godin
Maguire
Sancho
Coutinho
Tielemans (wa king power stadium huyu)
Kwa rumazi zote hizo, hatutashangaaa tukatoka empty
Rabiot - ni Pogba mwingine

Dyabala - ni fedheha kuchukua reject wa timu nyingine, pia sio mpambanaji kiivyo

Joao Felix - tuna Angel Gomes

Sancho - tupo Europa, sijui kama atakubali
 
MOURINHO: UTD PROBLEMS STILL THERE
Jose Mourinho
says Manchester United's problems are down to "the players, organisation and ambition" and also denied Paul Pogbawas responsible for his dismissal.
Mourinho was sacked as United manager in December after overseeing the club's worst start to a campaign in 28 years.
But when asked if he was a victim of Pogba, Mourinho told French newspaper L'Equipe: "No, no. The problems are there, you can imagine that the problems are the players, the organisation and the ambition.
"I will only say that I cannot say 'yes' when you ask if Paul was the only one responsible."
 
Tetesi za Usajili zilizopo ninazozifurahia

1. Nicolas Pepe - Lile

2. Bruno Fernandes - Sporting

3. Koullibally - Napoli

4. Bissaka - Cristal Palace

Ninashangaa kwanini sijasikia Tetesi za Wachezaji wafuatao

1. Madison - Leicester

2. Neves - Wolves

3. Ndidi - Leicester
Mkuu upo kichwani kwani hapo tukifanikiwa kuchukua wa 5 tutasumbua sana..... Imagine Fernandes, Pepe, Madison, Koulibaly, Wan Bissaka alafu ndidi anafunga kazi aiseh tutakuwa vzuri Sana........
 
Tetesi za Usajili zilizopo ninazozifurahia

1. Nicolas Pepe - Lile

2. Bruno Fernandes - Sporting

3. Koullibally - Napoli

4. Bissaka - Cristal Palace

Ninashangaa kwanini sijasikia Tetesi za Wachezaji wafuatao

1. Madison - Leicester

2. Neves - Wolves

3. Ndidi - Leicester
Pia Kuna
Raul Jimenez
Diogo Jalota
Wazuri Sana.
 
View attachment 1096616View attachment 1096617View attachment 1096618
Ooh its not emptyhad any longer.
Yani average kuanzia 2013-2018 city ana attendance kubwa kumzidi liverpool na chelsea

Angalia hapo kwa miaka 5 iliyopita.
 
Back
Top Bottom