Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,176
- 46,189
Tunawamudu Barcelona..Barcelona hii ya saivi haina maajabu
Barca ya Xavi na Iniesta sio hii ya leo,wachezaji wetu wakicheza kiume hii game haitabiriki.
Kibaya zaidi ni kuwaacha watawale pale kati kama watakavyo, hapo ndio tutapata aibu.