Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,653
- 29,128
Jones hata cheza. Ni smalling tu na lindelofImagine Young, smalling and Jones against Messi
Messi is licking his mouth right now!
YUMMMMMMMMMMY!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jones hata cheza. Ni smalling tu na lindelofImagine Young, smalling and Jones against Messi
Messi is licking his mouth right now!
YUMMMMMMMMMMY!
Nakumbuka huyu mpumbavu Messi alipiga goli pale Wembley mpaka babu Ferguson akawa anatetemeka
Kwa sasa hamna cha nyumbani wala ugenini mkuu madrid kafuata kwake kala chums 4 buyern kafuata german kala chuma 3 psg kafuata kwake kala chuma 3 mipango tuHapana sio nyepesi ila ni utofauti kati ya PSG na Barca hawa Barcelona wazoefu wa mashindano na mechi kule inapoenda kuishia ni kugumu sana Roma yeye alimalizia game nyumbani kwake
kwakwakwa
hahahahahhaaaaaa utafikiri ratiba wanapanga waarabu wa abu dhabi.Manchester city ana njia nyepesi sana toka carabao kaja fa na hata uefa anakutana na timu nyepesi
Kwa sasa hamna cha nyumbani wala ugenini mkuu madrid kafuata kwake kala chums 4 buyern kafuata german kala chuma 3 psg kafuata kwake kala chuma 3 mipango tu
Hii timu sio changa tunawachezaji quality nzur tu cha msingi tusipate majeruh ya Ander Herrera
Noma sana mkuu ila kwangu mimi sina hofu ndo maana ya kuwa club kubwahahahahahhaaaaaa utafikiri ratiba wanapanga waarabu wa abu dhabi.
Waambie man city anatolewa hapoNoma sana mkuu ila kwangu mimi sina hofu ndo maana ya kuwa club kubwa
Nakumbuka huyu mpumbavu Messi alipiga goli pale Wembley mpaka babu Ferguson akawa anatetemeka
Nakwambia kabisa timu ambayo tungekutana nayo ni hatar basi ni liverpool huyu hata nisingetia neno mechi ingekuwa ngumu sana amini nakwambia niliomba sana tumkwepeNgoja tusubiri lakini hiki kibarua ni kigumu sana Mkuu labda bahati iwe upande wetu ila kiuhalisia kichuguu kimegeuka mlima
Njia ya kumpata liver ni nyepesi sana MPIGE BARCA