Nakumbuka huyu mpumbavu Messi alipiga goli pale Wembley mpaka babu Ferguson akawa anatetemeka
Kipindi tuna mabeki makini, Evra,Rio,Vida na Rafael.
:D
Ila kwa sasa tuna wachezaji wengi wenye vipaji ila warembo sana,hawajitumi.

Fikiria kipindi hicho tulikuwa na Mid ya Carrick na Fletcher/ Scholes

Now tuna Pogba,Herrera na Matic/Fred. Hawa anayejituma sana ni Herrera pekee. Wakati hao wa juu wote walikuwa wafia timu.

Njoo kwa washambulizi. Tulikuwa na Rooney na Dimiter now tuna Lukaku na Rashford. Hapa kazi sio ndogo.

Hapana sio nyepesi ila ni utofauti kati ya PSG na Barca hawa Barcelona wazoefu wa mashindano na mechi kule inapoenda kuishia ni kugumu sana Roma yeye alimalizia game nyumbani kwake
Kwa sasa hamna cha nyumbani wala ugenini mkuu madrid kafuata kwake kala chums 4 buyern kafuata german kala chuma 3 psg kafuata kwake kala chuma 3 mipango tu

Hii timu sio changa tunawachezaji quality nzur tu cha msingi tusipate majeruh ya Ander Herrera
 
Ngoja tusubiri lakini hiki kibarua ni kigumu sana Mkuu labda bahati iwe upande wetu ila kiuhalisia kichuguu kimegeuka mlima
 
Kwenye soka la ulaya barca sio Club tishio ndio maana hawajafika nusu ya madrid, kama mwenye kombe lake katoka hawa mnawaweza
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom