Mkuu una maoni gani si bora tukomae na Top 3 Tu
hahahahahaahaaaaaaaaaa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
mechi inamalizwa kubaya.

dah ngoja tuone mkuu pengine ndani ya mwezi mmoja rashford atakuwa hatari kuliko ronaldo.
martial atakuwa hatari kuliko thierry henry
ashley young atakuwa hodari kuliko dani alves.
lukaku ball controll yake itakuwa bora kuliko ya dennis bergkamp.

tukija ligi kuu tuna mechi ngumu mbili dhidi ya chelsea na manchester city huku adui yetu mkubwa arsenal ana mechi dhaifu.
 
Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
 
Haijanikera mkuu ila ni ukweli kwamba anapopitia Liverpool ni rahisi sana
Tulikuwa kwenye kundi la kifo la PSG ,NAPOLI tumepita tumepewa Bayern tumepita na hata tungepewa yoyote tofauti na PORTO tulikuwa tupo tayari Liverpool hatuogopi timu yoyote ile.
 
Alikuwepo
Hivi mess hakucheza ile mechi roma anamtia chuma 4?
20190315_145350_rmscr.jpeg
 
Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
hii mechi tunapaswa tuimalize mapema uwanjani kwetu hata kwa bao la mkono.
tusiruhusu cinema ya psg ikajirudia tena kwa mara ya pili.
tusiruhusu cinema yetu dhidi ya juventus ikajirudia tena kwa mara nyengine.
ni hayo tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom