Imagine Young, smalling and Jones against Messi
Messi is licking his mouth right now!
YUMMMMMMMMMMY!
Manchester city ana njia nyepesi sana toka carabao kaja fa na hata uefa anakutana na timu nyepesi
hahahahahaahaaaaaaaaaa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Mkuu una maoni gani si bora tukomae na Top 3 Tu
Hivi mess hakucheza ile mechi roma anamtia chuma 4?Imagine Young, smalling and Jones against Messi
Messi is licking his mouth right now!
YUMMMMMMMMMMY!
Imeshamalizika mkuu
Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?hahahahahaahaaaaaaaaaa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
mechi inamalizwa kubaya.
dah ngoja tuone mkuu pengine ndani ya mwezi mmoja rashford atakuwa hatari kuliko ronaldo.
martial atakuwa hatari kuliko thierry henry
ashley young atakuwa hodari kuliko dani alves.
lukaku ball controll yake itakuwa bora kuliko ya dennis bergkamp.
tukija ligi kuu tuna mechi ngumu mbili dhidi ya chelsea na manchester city huku adui yetu mkubwa arsenal ana mechi dhaifu.
Tulikuwa kwenye kundi la kifo la PSG ,NAPOLI tumepita tumepewa Bayern tumepita na hata tungepewa yoyote tofauti na PORTO tulikuwa tupo tayari Liverpool hatuogopi timu yoyote ile.Haijanikera mkuu ila ni ukweli kwamba anapopitia Liverpool ni rahisi sana
Liverpool kapita sehemu ngumu sana huyu siwezi kumzungumzia kwa upande wanguTulikuwa kwenye kundi la kifo la PSG ,NAPOLI tumepita tumepewa Bayern tumepita na hata tungepewa yoyote tofauti na PORTO tulikuwa tupo tayari Liverpool hatuogopi timu yoyote ile.
Wewe ndio mshabiki sasa lazima uiamini timu yako sio kulia lia tuHapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
Hivi mess hakucheza ile mechi roma anamtia chuma 4?
Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
hii mechi tunapaswa tuimalize mapema uwanjani kwetu hata kwa bao la mkono.Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
Kabisa mkuu huyo barcelona si angekuwa na makombe sawa ma madrid kama timu tishio au 7 ya ac milan mpira mipango tuWewe ndio mshabiki sasa lazima uiamini timu yako sio kulia lia tu
Sasa hapo mkuu kuna beki kisiki kama ramos au chielin?
kwakwakwaPigeni ramli na messi aumie Kama mlivyofanya kwa neymar