Kweli kabsa sema ma winger world class siku hizi kuwapata ni ishu aisee, wengi bado watoto, nilisikia Douglas Costa anataka asepe Juve sasa sijui kama ni kweli ila naona kama tukimpata mtu kama yule tutatisha...maana ukiangalia UTD mashambulizi yetu mengi yanatokea upande wa Martial (kushoto) sasa akija Costa tutakuwa shambulia pande zote mbili vzuri.
Timu yetu inavyocheza upande wa kulia unakuwa amna kitu kabisa..tungepata mtu sahihi hili eneo tungekuwa hatari sana kule mbele..

United Fan
 
Kabsa, shida ni kwamba mara nyingi huwa tunamuweka Mata au Lingard nafasi hio, wachezaji ambao kiuhalisia sio mawinger wote wanafaa zaidi wakicheza kama n.o 10, nadhani ndo maana kuna kipindi Mo alikuwa anamtaka Perisic..
 
Sure,angalia timu kama Man city..Bernado silva yupo kulia na sterling kushoto..timu inawavuta mabeki pande zote na balance inakuwa poa sana na unpredictable..sisi kutacheza upande wa Martial tu muda mwingi

Inawezekana kwa Marcus kucheza kulia, huku Sanchez au Lukaku akawa central striker.
 
Lingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS

Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS

My Lineup

De Gea

Young Bailly Lindelof Shaw

Herrera Matic Pogba

Lingard Rashford Martial

United Fan
WONDERS WILL NEVER END, Kila mtu anamuweka bench Lukagoals
 
Lingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS

Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS

My Lineup

De Gea

Young Bailly Lindelof Shaw

Herrera Matic Pogba

Lingard Rashford Martial

United Fan
ilituchukua miaka miwili na nusu pamoja na kocha mpya kupata kikosi cha kwanza
 
Back
Top Bottom