Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,191
- 46,235
Timu yetu inavyocheza upande wa kulia unakuwa amna kitu kabisa..tungepata mtu sahihi hili eneo tungekuwa hatari sana kule mbele..Kweli kabsa sema ma winger world class siku hizi kuwapata ni ishu aisee, wengi bado watoto, nilisikia Douglas Costa anataka asepe Juve sasa sijui kama ni kweli ila naona kama tukimpata mtu kama yule tutatisha...maana ukiangalia UTD mashambulizi yetu mengi yanatokea upande wa Martial (kushoto) sasa akija Costa tutakuwa shambulia pande zote mbili vzuri.
United Fan