Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,548
- 10,272
Wazee wa alphabet kiulaini nafasi ya khamsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule bwege aliyesema maisha yetu tunayoishi kila siku hayana tofauti na gwaride hakukosea hata kidogo.Naona kama Ole kesho ataanza na Jones..nahisihisi hivyo..but lets wait
United Fan
Mechi itakuwa ngum bado kwa pande zote mbili lakn nauona ushindi wa magoli 2+ ukienda ot tukipata na cleansheet itapendeza zaid all in all mkuu umenena vizur sana ndio game za kuwaonyesha ukubwa wetu hawa mabishoo wa parisTuiangalie mechi yetu ya kesho, tuachane na hao Chelsix;
Tukianza na PSG kesho nakiona kikosi kikianza kama ifuatavyo;
Buffon
Kehler Kimpembe Silva Bernat
Paredes Marquinhos Veratti
Di Maria Mbappe Draxler
>Kehler anaweza kuanza kwa sababu Meunier ni majeruhi, na huyu Mjerumani Kehler anaonekana anaweza kuwa mbadala mzuri.
>Marquinhos naona akimuweka benchi Dani Alves kesho kwa sababu alicheza vizuri kwenye mechi zote za Liverpool vs PSG kwahiyo sioni nafasi ya Alves hapo kesho.
>Adrien Rabiot nasikia hata kwenye kikosi kinachokuja hatokuepo kwa sababu hataki kuongeza mkataba anataka kusepa.
>Tutarajie kumuona Paredes kesho akianza au akitokea benchi.
>Kesho Mbappe atakaa pale mbele aliaweze kuwapa tabu mabeki wetu kwasababu ndio mtu pekee aliyebaki wa kuogopwa kwasababu ya mbio zake kama kweli Cavani hatokuepo.
>Julian Draxler na Angel Di Maria ndio watakao tuletea tabu maeneo ya pembeni kama watafanikiwa kupadhibiti na kumpitishia mipira Yule kiberenge Kylian Mbappe Lotin.
>Kama kocha anaroho ngumu sana basi atamuanzisha Di Maria kushoto, Mbappe kulia na pale mbele atakaa Choupo Moting.
Kwa upande wetu naona kikosi kikianza kama ifuatavyo;
Rashford
Martial Pogba Lingard
Matic Hererra
Shaw Bailly Lindelof Young
De Gea
Kikosi chetu kitaanza hivyo kama wengi tunavyotarajia.
>Rashford atakuepo kwasababu anaonekana kuwa kwenye wakati mzuri kuliko Lukaku.
>Martial atamuweka nje Sanchez, kwahiyo Sanchez ataweza kutokea benchi kulingana hali ya mchezo itakavyokuwa.
>Matic na Hererra shughuli yao inajulikana.
>Bailly atamuweka nje Jones kwasababu Bailly anaweza kukimbizana na Yule kiberenge wao pale mbele, ingawa kama atazidiwa tutarajie kuona akipata kadi nyekundu kwasababu Bailly akilizake huwa anazijua yeye tu.
>Kimsingi mpaka sasa mechi iko upande wetu kabisa labda tushindwe wenyewe tu, maana kama angekuepo Neymar, Cavani na Meunier basi kazi ingekuwa ni kubwa zaidi, ndio maana hata kwa ale tunaobeti tunaona kabisa odds za Man U zimeshuka sana mpaka 2 wakati kipindi Mou yupo odds zetu zilikuwa 5+…
(Naomba kesho tuwepo humu ndani, marafiki zetu wa Team za Alhamisi watakuja kututembelea na wengine watakuja kujifariji baada kipigo kikali walichokipata)
GGMU…GGMU..GGMU
Nahisi Ole nyuma ataanza na Lindelof na SmallingNaona kama Ole kesho ataanza na Jones..nahisihisi hivyo..but lets wait
United Fan
Sure..tuna uwezo mkubwa tu wa kumaliza mechi kesho,,vijana wapambane maana 2nd Leg itakuwa tough kwetuGemu ya kesho tuna nafas ya kuimaliza mapema kabisa pale OT ....tukienda paris watakua na cavan na watacharuka sana hawa jamaa
Anaitwa FrenchRonaldoNaona press conference ya leo, OLE kaenda na kijana wake Martial.
Ilikua poa martial ana aibu kinoma,sababu kubwa ni kwakua nusu ya reporters wanaongea kifaransa kwaiyo jamaa alikua kama translator pia.Naona press conference ya leo, OLE kaenda na kijana wake Martial.
Sema kuvuta 4 world class ni ngumu kidogo, lazima ubugi kiduchuNdio hivyo
Pale United tunahitaji angalau watu 4 summer ambao ni world class ili tuwe at per na City
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez au Lingard Poa tu, kikosi kizuriPossible lineups.....sema cjajua hii mechi kama inamfaa sana mtu kama SanchezView attachment 1020455
Possible lineups.....sema cjajua hii mechi kama inamfaa sana mtu kama SanchezView attachment 1020455
Ni kweli mkuu. Hicho nilichotaja ni mahitaji lakini inaweza isiwe uhalisia kwa 100%
Ni kweli mkuu. Hicho nilichotaja ni mahitaji lakini inaweza isiwe uhalisia kwa 100%
Lakini tukipata hata world class wawili, yaani beki wa kati na winger especially left footed na tupate wawili (talents bora) kwenye nafasi nyingine kama full back na central midfielder itatusaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app