Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,880
- 10,185
Nimetaja Liverpool,Juventus, Barcelona zote zimetumia fedha nyingi kuliko United but majibu yako umeziona PSG & Man City tuOk ni kweli United tuna generate pesa nyingi kuliko hao wote sema huwezi kutufananisha na PSG au Mancity coz sisi pesa ni za mapato ya ndani ya Club (business), wakati PSG,Chelsea na City wao zinatoka kwa maSugar Daddy wenye pesa chafu hvyo lazima uelewe kujenerate pesa nyingi haimaanishi kwamba ndo unaongoza kwa pesa hvyo hatuwezi kuwa sawa kwenye transfer budget!
Pia labda hukunielewa vizuri hapo juu hapa swala sio pesa kutolewa hapa swala ni hizo pesa unampa nani?,mourinho alipewa pesa akasajili alafu baadae ye mwenyew ndo akaanza kuponda eti kikosi kibovu,vile vile alisema Kuingia top 4 ni labda Miracle itokee angalia OLE alichofanya na wachezaji hao hao.
So kama klabu ina-generate fedha haitakiwi ku-invest back kununua wachezaji ??
Mourinho anajulikana hajabadilika kabla hujampa kazi lazima umfahamu .
Jose made many mistake (tactical & technical) but his opinion/challenge zake against Woodward ndio zimewafanya Glazers wamefikiria kubadilisha structure ya klabu
Sent using Jamii Forums mobile app