Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Most of those players don't deserve to play for United I heard umesikia walichoongea kina Ince,Keane,Evra & GNevilleSAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.
Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.
Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k
Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
Hata ingekuwa enzi za SAF wasingepata nafasi ya kuichezea United especially Pogba