Nahisi leo timu zote za Manchester zinaweza kutolewa ... ... .... Mancs watatoka kwa matokeo yasiyo juu yao dakika 50 zinazokuja zitatupa ukweli khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Prof. anapendelea wote wa-qualify ... .... ..
 
Uyu naye sijui wiki ngap wodin..manake sie ka tuna laana..kibongobongo tungehis mkono wa sheikh flan wa bmoyo.


Vidic naona naye majeruhi ... ... kazi mnayo wapi Wine Romney aonyeshe vitu vyake khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ukifungwa leo mechi zako za europe utakuwa unaangalia alhamisi peke yako.

hahahahahhah....!


heheheeh dah! hili jibu muafaka kabisa

umeona ee?....


Shen* zako...hili jibu si la kumpa mkweo ila mwanamke wako wa nje ya ndo...araaaaa...
Msalimu MBU...mwambie hakubaliki kabisa hapa na kwangu..

....hahahahaha,.....aisee alhamisi tushawazoea Spurs kule, mimi nawaombea mshinde leo bana, ...dakitari wangu
kanipa ED ya kushabikia mpira mpaka January
...usikonde.
 
Mkuu mbu nisaidie kubeba misanduku ya mabati hii, watu wanaelekea Europa

422_1_mid.jpg
27545_142759789096771_9888_n.jpg


...bye bye nini?...hahahahahahaha!
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom