Radical
JF-Expert Member
- Jun 3, 2009
- 374
- 44
sis ndio ma champion wa EPL wote wasindikizaji
Unapotezea champions league???? Kwani kuna mtu kabisha nyie ma-champion...kama ambavyo hamna anayebisha mmekalia kuti kavu ku-qualify!
sis ndio ma champion wa EPL wote wasindikizaji
poleni wakuu ndioukubwa huo.
nnaomba link niangalie bali jamani
gAME NGUMU HUU!!! mmeshikwa kiaina... hakuna move ya goal kabisa....
What is this?