Baada Ya Gurdiola Kufanikiwa Kuinunua Ligi Hawa Man Shit washaanza Mdomo! Kabla Ya Kuangalia Kuwa Kwanini Hajafungwa kwanza Wangeangali Katumia £ ngapi Kwa Ajili ya Kufika Hapo alipo.
Lakini Muarabu afahamu Kuwa Mpira Ni Wa Wananchi na Si Wa Pesa..

Hata Abramovic 2004/05 aliinunua Ligi lakini Sasahivi Kaishia Wapi? Kuingia sokoni anaogopa Anaishia Kuuza Matic anunue Moratta.

Na Huyo Mwarabu Ajue Matumizi Ya Katika Soka Yana Ukomo..

Kwa Ufupi Gurdiola Kainunua Ligi.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Hili povu vipi Chief..!?
Ahahaaaaaaaaaaah..!
 
Bei ya mangala na johnston inafikia bei ya pogba halafu hawana uhakika wa namba.
View attachment 659947
Wewe ni mwehu...
Unasema jamaa hawana uhakika wa namba wakati huo huo unalalama kuwa Man City ameinunua ligi..!
Kwanza Hata hiyo list yako haioneshi tofauti kubwa kati ya Manure na Man City katika spending,inaonekana hata hesabu ndogo tu za kujumlisha na kutoa ni tatizo kwako..!
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kazi mnayo mwaka huu..!
 
Nimetoka kucheki game ya Man utd vs burnley

Mechi ilikuwa inachezwa Old trafford.

Kiukweli huyu Mourinho hana jipya hata kidogo na formula yake ya kudefend badala ya kushambulia

Mpaka mapumziko Man u alikuwa ashachezea 2-0

Basi kipindi cha pili wakazinduka wakaikacha formula ya kukaba na kuhamia wote mbele huku referee akionekana bega kwa bega kuwatafutia vizee hawa magoli angalau wapate sare

Endapo man city watashnda kesho bas watawazidi man utd point 16

Poor man u
Poor mourinho
 
Back
Top Bottom