Lingard msimu huu ana consistency.Tatizo hawa madogo hawana consistency
mkuu leo vipi?Hebu tumuweke Mou pembeni, tuangalie magoli waliyokosa wachezaji wenyewe maanake Mou hawezi kuingia uwanjani kufunga.
kwa hiyo wewe unataka kila siku muwe mnafunga nyienarudia kusema Mou ni kibaka kama vibaka wengine
atuachie timu yetu
swali gani na wewekwa hiyo wewe unataka kila siku muwe mnafunga nyie
swali gani na wewe
hivi hii game kulikuwa na ulazima gani wa kuongeza dakika 5utaona man u wanavyopendelea zisipoongezwa dakika 5 au 7 hapa itakuwa bahati ili mradi tu man warudishe goli