Yaaani haka Ka DE GEA kamefungwa goli la kise****nge then nakanijidai kanamind wakati ndo uwezo wake....Hahahahahaaaaa
 
Kinachonisikitisha Wenger kawakataza wachezaji wangu kupiga mashuti ya mbali lakini yangekuwa mengine kwenye mechi yetu inayokuja na huyu kipa wenu mpya.Kipa ukitungua goli lol.

Huyu ndo game yake ya mwisho kaka... Pale ataanza Ben Foster.......
 
Itakuwa kila akicheza De Gea basi inabidi tufunge more than we let in.
After a fine save he lets in a silly goal guess it comes with young keepers.
 
Huyu ndo game yake ya mwisho kaka... Pale ataanza Ben Foster.......
Humuoni Forster anachezea West Brom au unamzungumzia Ben Amos?
Fergie alivyo ataendelea kumpanga mpaka tutatia akili lol maana yule mzee ana kiburi kweli kweli.
 
Guys ndo tatizo la kuvaa viatu vikubwa van desar alikuwa tegemeo letu na alifungwa magoli ya kizembe zaidi ya haya mnakumbuka gemu na west brom la home 2liotoka 2-2'magol yote alitoa van desar kuna moja alidaka halafu akatema tena mpira'huyu dogo ni mzuri tumpe muda'tatzo anatembelea shadow ya vandesar'
 
Fabio na Smalling naona nao inabidi wapate somo half time... Naona defence yetu haina confidence na kipa, Steele inabidi afanye kazi ya ziada kwa De Gea.
 
Yaaani haka Ka DE GEA kamefungwa goli la kise****nge then nakanijidai kanamind wakati ndo uwezo wake....Hahahahahaaaaa

Guys sioni usenge wa lile goli

watch the replay, mpira ulibounce kwenye surface in an awrkward manner
 
Afu tabu yetu badala ya ku judge Da gea as an individual basi tunataka kumlinganisha na VDS...kamwe hawawez fanana.
 
Duh SAF anakaribia kuanza subs zake za kuleta ugonjwa wa moyo. Soon Evans ataingia for Vidic I guess.
 
Duh two influential defenders wameumia wote... tunabaki na inexperienced keeper na defenders .. ishakuwa noma hapa.
 
Back
Top Bottom