Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NtYga

JF-Expert Member
Aug 23, 2018
2,208
2,000
Stepping up on the biggest stage of all

manutd |
#GGMU View attachment 2022887
IMG_20211125_105907_472.jpg
 
Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,798
2,000
Nilivyomuona poch Leo kwa mam city bado sins uhakika kama ataweza kuna kuipa man u mafanikio... Ameelemewa sana kupita maelezo ni bahati tu man city wamescore 2 na sio 4
Ile team tatizo sio kocha, dressing room ni nzito imejaa mastaa tupu kila mtu anajiona bora yaani wapo wapo tu mtizame Tuchel wa chelsea halafu tizama wakati yupo PSG utanotice kitu
 
Mervin

JF-Expert Member
Sep 28, 2021
231
250
Mimi naona Ten Hag kwa sasa ni better option kuliko Poch

Naona klabu macho yao yapo hapo kwa hao wawili
Munamchagua Sana Ten hag Kwa Sababu ya kufanya vizuri ajax, Ligi ambayo Hana mpinzaniz miaka kibao anachukua makombe uholanzi,Akiwa uefa anaonekana kufanya vizuri mwanzoni TU lakini next stage hafiki kokoteee.ViPi akifika Epl Ligi ngumu ku compete na makocha wenye majina ligi isiyo na Xmas mashindano kibao.
 
Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,471

Hiyo ndiyo concern yangu kuwa pengine anafanya vizuri sababu pale Ajax ana dominate yeye tu

Lakini Ten Hag pia kafanya vizuri Ulaya, kwenye Europa na Champions League

Pia soka inalocheza timu yake linaeleweka ni soka la aina gani, inaonesha kocha anajua anachofanya

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Anajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
 
Kwanza nimesema amefanya vizuri Champions League na Europa League ambako hapo wapo vigogo wote wa ulaya unaowajua wewe. Na hili amelifanya akiwa Ajax timu unayoamini ni mbovu lakini inabebwa tu na udhaifu wa ligi yao

Pili unaona timu yake inavyocheza, hata ukiulizwa jamaa anacheza style gani ya mpira unaweza sema... Tofauti na ilivyokuwa kwa Ole (kwa mfano)

Tatu kwa maelezo yako juu, unamaanisha hakuna kocha atakayeweza kazi ya kupambana na akina Pep na Klop, kitu ambacho si kweli ... Kwa kauli yako ni kama unasema timu isiteue kocha, ibaki bila hivyo hivyo

Kwa kauli yako ni kama unasema kocha akitoka ligi nyingine hawezi kufanya vizuri kwenye ligi kubwa Ulaya, Unajua Johan Cruyff alitoka ligi gani? Unajua Jose Mourinho alitoka ligi gani? unajua Ferguson alitoka ligi gani? Unajua Julian Nagelsman alipotoka?

Embu tuambie wewe mkuu, ungependa kocha awe nani na kwa sababu gani?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
DAEMUSHIN

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
16,074
2,000
United hawawezi mchukua poch wa kawaida sana, lazima atatafutwa kocha wa kubattle na elite coaches kama pep/klopp.
ungeliweka Mfano wa huyo coach anayepatikana kwa sasa.
  1. Enrique amekataa
  2. Zidane amekataa
kwa hoja ya elite coach nafikiri Chaguo sahihi alikuwa ni Antonio conte lakini tukadelay kumfukuza Ole kwa wiki mbili baada ya kufungwa goli 5 na liverpool.
 
Mervin

JF-Expert Member
Sep 28, 2021
231
250
Kwanza nimesema amefanya vizuri Champions League na Europa League ambako hapo wapo vigogo wote wa ulaya unaowajua wewe. Na hili amelifanya akiwa Ajax timu unayoamini ni mbovu lakini inabebwa tu na udhaifu wa ligi yao

Pili unaona timu yake inavyocheza, hata ukiulizwa jamaa anacheza style gani ya mpira unaweza sema... Tofauti na ilivyokuwa kwa Ole (kwa mfano)

Tatu kwa maelezo yako juu, unamaanisha hakuna kocha atakayeweza kazi ya kupambana na akina Pep na Klop, kitu ambacho si kweli ... Kwa kauli yako ni kama unasema timu isiteue kocha, ibaki bila hivyo hivyo

Kwa kauli yako ni kama unasema kocha akitoka ligi nyingine hawezi kufanya vizuri kwenye ligi kubwa Ulaya, Unajua Johan Cruyff alitoka ligi gani? Unajua Jose Mourinho alitoka ligi gani? unajua Ferguson alitoka ligi gani? Unajua Julian Nagelsman alipotoka?

Embu tuambie wewe mkuu, ungependa kocha awe nani na kwa sababu gani?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Nimejudge kuhusu Erik Kwa Sababu ya kuona anapigiwa promo Sana,Kiasi Kwamba anatabiriwa akitua united atafanya makubwaa na hii inatokana na Timu yake aliyo nayo Sasa kufanya vizuri kipindi hiki,Ndo maNa nikasema kuhusu Ligi aliyopo,Timu yake ikiwa kwenye mashindano ya uefa na Ligi anayo fanyiwa upatu.Kuhusu kocha ninae wish atue united ni kocha yeyote TUU kikubwa ajue anafundisha timu gani,Timu inahitaji Nini na kujua Timu inataka kufika wapi kisoka,basi.Mengine hayo ni ya ziada TU...
 
DAEMUSHIN

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
16,074
2,000
Mpaka sahizi nafikiri hawa wanaotajwa kama interim ni watu bora sana....

i)Ernesto varverde
ii)Ralf Rangnick
iii)Rudi garcia

Ernesto ververde alitwaa la liga mara 2, kombe la ligi pia....alifukuzwa january 2020 kwasababu ya matoke9 ya champions league back to back alipoteza kwa liverpool na roma the following season....
taarifa zinadai wapo makocha watano wanaofanyiwa mahojiano, wengineo ni lucien favre na paulo fonseca
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom