Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,438
2,000
Ole anafurahisha Sana,Hana formation maalumu.Akiona formation inampa matokeo kwenye mchezo mmoja bas ataitumia kwenye mchezo ujao,ikitokea akafungwa bas ataachana na formation hiyo atahamia kwenye formation nyingine 🤣🤣jamaa ni mtu wa trial and error...
Kwa kifupi OLE amepanic. Hivi hizi kazi za ukocha hazinaga utaratibu wa kumpa mtu likizo japo ya two weeks. I think this man needs some time off ama sivyo ataendelea kuharibu vibaya sana.
 

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,743
2,000
Ferguson anatuharibia timu
Kuna rafiki yangu mmoja mtaani aliwahi niambia kua timu yetu haiwezi kurudi tena kama zamani mpaka Ferguson afe.

Siku ile nilimuona kama karopoka tu kwakua yeye ni mshika manati.

Ila kwakweli naanza kuamini mdogo mdogo.

Hata uwepo wa Ole mpaka sasa pale OT unatokana na Ferguson, laiti angekua kocha ambae hayupo ndani ya mfuko wa suruali ya Ferguson saizi Ole tulisha msahau tangu tulipo donyolewa na kuku.

Kuku alitufanya kitu mbaya sana.

Kichapo kile kiliidhinisha kabisa kufukuzwa kwa Sorkjaer, lakini kwakua yuko ndani ya mfuko wa suruali ya babu mpaka leo tunaendelea kumuona akitamba.

TATIZO SIO WACHEZAJI, KOCHA, WALA UONGOZI, TATIZO NI ZIDUMU FIKRA ZA FERGUSON.
 

UP TO DATE

JF-Expert Member
Apr 20, 2021
443
1,000
Daahh, Hali mbaya jamani,hiv zile mechi za mwanzoni kabisa si tulikuwa vinara wa ligi ya epl,Yani Sasa hivi tunaombea bahati,daaah Yani nikiona tu neno TEAM VIEWER Basi namkumbuka mgonjwa mahututi wa kansa ya ubongo na mgonjwa huyo ni man United...
 

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
2,861
2,000
DOF na Technical director ndio wanaotufelisha katika suala la Ole kufukuzwa....

Kwanza nahisi. Hawana succession plan na hawakuwahi kuiandaa..hivyo sahizi ndio wanapekua profiles za makocha wanaopatikana

Pili wao ni watu wanaoweza shauri CEO kuwa timu imefika kwenye maximum damage na haiwezi kuwa fixed na kocha tulienae....hapo ndo wanamshauri CEO tufanye hiyo Appointment ya kocha mpya

John murtough amewahi kuwa director of football katika timu yenye pressure na yenye kuhitaji maamuzi magumu kama man u??

Je fletcher amewahi kuwa technical director? na anauzoefu wa mda gani?

tetesi zinasema Ralf Rangnick yupo tayari kuwa kocha hadi mwisho wa msimu, alafu ahamie kwenye director of football.....

kama ni kweli ni heri iwe hivyo yani timu kubwa kama manchester united inampa mtu cheo kipya kwasababu ni legend.....

yani hii inachekesha ni mfano mtu amesoma udsm akamaliza chuo akiwa fresh akapata kuwa makamu mkuu wa chuo....
 

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,438
2,000
It has been confirmed..Arsenal are above us in the premier league..

What a joke??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
OLE bado anaidanganya management kwamba these teams which have buttered utd are of high quality, hapo kaishasau mwanzo wa msimu alikuwa anasema his team is a title contender, yaani kabadirisha gear.

Ngoja tuone next Saturday atasingizia nini, sababu lazima atandikwe.
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
14,431
2,000
OLE bado anaidanganya management kwamba these teams which have buttered utd are of high quality, hapo kaishasau mwanzo wa msimu alikuwa anasema his team is a title contender, yaani kabadirisha gear.

Ngoja tuone next Saturday atasingizia nini, sababu lazima atandikwe.
Next weekend ni international break..

Baada ya hapo tunaweza kubahatisha kiushindi dhidi ya Watford then vipigo vitaendelea maana tupo na Villareal,Chelsea Arsenal kwenye waiting line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,438
2,000
Next weekend ni international break..

Baada ya hapo tunaweza kubahatisha kiushindi dhidi ya Watford then vipigo vitaendelea maana tupo na Villareal,Chelsea Arsenal kwenye waiting line.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mambo ya international break ndio inayo exacerbate crisis kwa OLE ujue? sio kwamba nawish, lakini intuitive trend analysis yangu inaproject kipigo next mechi, tena hii international break ndio inaongeza odds za kipigo.
 

xYz07

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
3,931
2,000
We are sorry dad
IMG_20211107_210608.jpg
 

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
1,174
2,000
Wazee Moyes anajipigia tu, tatizo siyo wachezaji kabisa ni kochaaaa.

Kama United wapo serious kweli wamlete Ralf Rangnick huyu ndiyo kichwa cha wanayofanya makocha kama Klopp na Tuchel. Kwa style yake na aina ya wachezaji (mapafu ya mbwa) anaowahitaji wapo apewe timu naona tetesi nyingi ni kwa kocha wa Leicester, hapo United wanapotea kwa mara nyingine tena.
 

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
2,861
2,000
Wazee Moyes anajipigia tu, tatizo siyo wachezaji kabisa ni kochaaaa.

Kama United wapo serious kweli wamlete Ralf Rangnick huyu ndiyo kichwa cha wanayofanya makocha kama Klopp na Tuchel. Kwa style yake na aina ya wachezaji (mapafu ya mbwa) anaowahitaji wapo apewe timu naona tetesi nyingi ni kwa kocha wa Leicester, hapo United wanapotea kwa mara nyingine tena.
Huyu ralf rangnick ni kocha mzuri sana kwa aina ya m0ira anaocheza na falsafa yake kiujumla.....

"2019 aliulizwa kuhusu matatizo ya manchester united akasema shida yetu ni katika usajili yani tunasajili wachezaji wengi wasio sahihi, akasema ni bora tusisajili kabisa kuliko kusajili wachezaji wasioendana na mfumo akasema ukizingatia kutafuta kipaji kwakuangalia mfum9 wakiuchezaji wako unauhakika wa 50 kupata the best team....akazungumzia structure ya kupata kocha bora wakuendeleza hivyo vipaji"

Atakaepata hiyo taarifa nitaomva ailete hapa....ralf rangnick analysed manchester united failure 2019

Shida kubwa rangnick anataka interim hadi mwezi wa 5 mwakani...kisha apewe direvtor of football....nafasi ambayo tayari inamtu murtough
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom