Manchester United(Red Devils) Special Thread

Newfame

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
484
1,133
SAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.

Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.

Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k

Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
Man utd has bigger problem zaidi ya kocha , bunch of average players ambao hata kocha mpya hawezi kuwabadili na hao wakina egoist players ambao ndio wachafuzi wa dressing rooms and training sessions and since atakuwa intern coach inaweza kuwa ni majanga zaidi ya faida kumfukuza Mou muda huu..
 
Mar 10, 2013
43
13
SAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.

Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.

Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k

Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
Mou hana shida ya kulea vipaji, kama umeshindwa kujilea ni wewe, shida yake vikombe tu...
 
Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,835
10,058
SAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.

Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.

Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k

Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
Most of those players don't deserve to play for United I heard umesikia walichoongea kina Ince,Keane,Evra & GNeville

Hata ingekuwa enzi za SAF wasingepata nafasi ya kuichezea United especially Pogba
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,702
19,361
Solskjaer on De Gea: 'We have the best goalkeeper in the world, he's been here eight years and he is still a young keeper developing, it's fantastic for me to come in. Maybe I'll have to do some finishing training to take him down a peg a little bit.’

Mourinho na van gaal pia waliongea tunamuangusha sana ila kwa sasa tumlinde basi.
Nini umuhimu wa kuandika huo ujinga ulio uandika?
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,702
19,361
Licha ya kuwa na matatizo kadhaa Katika timu, Kumfukuza Josse Mourihno ni Jawabu sahihi na hatua muhimu.

Kuna faida kimbinu na kifalsafa.

Tatizo la Man United halikuwa wachezaji, Tatizo lilikuwa Kocha.

Pep Gurdiola amewahi kutamani kuwa Mwalimu wa Man U kutokana na kikosi kilichopo.

Kama imewezekana kuwabadilisha Sterling na De Burnye kuwa Classic player kutoka Norma player basi kulikuwa na uwezekano wa kumfanya Martial kuwa na Dunia ya peke yake.

Mourihno ni Kocha anahetumia Mbinu ngumu Katika michezo rahisi.

Falsafa yake ya kupenda kukaba kuliko kushambulia Ndio iliyomponza.
Martial ni mbovu kama james msuva
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,702
19,361
SAF alikuwa na kikosi cha namna gani Mkuu?Kwangu Kocha mzuri ni Yule anayeweza kuwabadilisha normal player kuwa Classic player like Pep G doing now.

Una Martial, Matic, Herera na Pogba then bado una lalamika huna timu.

Matic anakuja United akitoka Chelsea kuwa kiungo aliyekimbia km nyingi uwanajani, now Matic ameshuka Kiwango, Martial, Pogba n.k

Kwangu Mou hana Sifa ya kulea vipaji.
Mpira sio mbio mwambie uyo matic wako acheze mpira aache kukimbia ovyo
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,425
16,847
Kwani yeye ni nani hasa? Kwa hiyo yeye alikuwa juu ya Mwl akawa anajiamulia tu? Kumbuka Mwl Na yeye alikuwa anahitaji mafanikio kwa hiyo mbinu alizokuwa anatumia aliamini zikitekelezwa zingeleta matokeo mazuri. Wachezaji Wa aina hii tegemea hata kwa kocha mwingine watafanya hivyohivyo.
Mbinu gani za mpaka sasa tuna goal difference 0
 
OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
19,253
21,053
Mata na martial sio wa kukaa bench hata kwa pogba kama yule fabinho anacheza hao wanashindwaje? Uje keita hana maajabu kabaki kuvuruga players tu
Mkuu timu yenu ishajifiaga Siku mingi.

Nyie pambaneni msimu ujao mcheze ata Europa.

PSG yuko apo anakuja.
 
severinembena

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
2,305
2,193
Mbinu gani za mpaka sasa tuna goal difference 0
Hujanielewa vema,nnachomaanisha mchezaji alipaswa kumsikiliza kocha acheze ajitumetu kisha matokeo ndio yangeleta tu Picha ya mbinu mbovu za Mwl kama ilivyotokea. Hakupaswa kusumbua hadi sisi huku tuone pogba anamletea kiburi Mwl,hajitumi,anakaa na mpira muda mrefu ananyang'anywa halafu wenzie walioutafuta wakampa wanaanza tena kuukimbiza yeye hataki kuukimbiza,Mara aseme mimi namba ninayopangwa siyo,wakati France anacheza hiyohiyo. Kwa ufupi hakuonyesha passion toka mwanzo kabisa na wachezaji Wa aina hii haya aliyofanya Leo kesho atafanya kwa Mwl mwingine. Hii huwa inapooza sana morali ya wachezaji wengine sababu nao wanaanza kujiuliza yeye ni nani hadi afanye hivyo!
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,186
31,452
Mkuu timu yenu ishajifiaga Siku mingi.

Nyie pambaneni msimu ujao mcheze ata Europa.

PSG yuko apo anakuja.
Huyo psg alieshindwa kumtoa madrid anapigwa kepu na eiber wewe unamuogopa? Mpira ni mipango kama sari alivyojilipua kwa pep akapata zari ndivyo mpira ulivyo sio mdomon wala jf

Europa tunaweza kucheza au tusicheze
 
PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
440
Huyo psg alieshindwa kumtoa madrid anapigwa kepu na eiber wewe unamuogopa? Mpira ni mipango kama sari alivyojilipua kwa pep akapata zari ndivyo mpira ulivyo sio mdomon wala jf

Europa tunaweza kucheza au tusicheze
.....Man U mnaichukulia poa!!!, kitendo cha Morhino kuchomolewa pale hesabu atakayekatisha mbele yake ameumia tu.
 
severinembena

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
2,305
2,193
inhemua wewe ni kocha umepewa fursa ya kuodoa wachezaji watatu pale man u ungewaondoa kina nani na kwa sababu zipi
1.Fellaini: kwa sababu ni mzito,hana control nzuri miguuni, amelegea tofauti na anavyoonekana na ninakumbuka wakati ananunuliwa mashabiki tuliamini tumempata Yaya Toure wetu, anaifanya timu isiwe na kasi inayotakiwa
2. Lukaku: ni mzito kwenye kufanya maamuzi,poor ball control, hana shooting accuracy anapoliface goli, hivyo ningemuuza ningenunua quality striker MF. Mauro Icardi au Belloti.
3. Pogba: Ukiondoa mbinu mbovu za Mou jamaa hathamini Badge ya ile timu wakati yeye amekulia pale, hajitumi,ana kiburi kwa walimu hata Mzee ferg alishindwana naye baada ya kukaidi alichokuwa akimueleza ikabidi amwambie ondoka nenda bure tu. Hivyo ningemuuza ningesaka kiungo mwingine MF. Francisco Román Alarcón Suárez "ISCO" sasa hivi kule Real anabaniwa namba,halafu middle wengine ningebaki na Matic, Herrera,Fred, Mata na Mctominay.
 
OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
19,253
21,053
Huyo psg alieshindwa kumtoa madrid anapigwa kepu na eiber wewe unamuogopa? Mpira ni mipango kama sari alivyojilipua kwa pep akapata zari ndivyo mpira ulivyo sio mdomon wala jf

Europa tunaweza kucheza au tusicheze
Hahaha kwaiyo na wewe una uhakika ya kwamba utamtoa PSG!! Hivi unajua ulichokiandika kweli.!! Usije Sema Mou ndo alikuwa tatizo Man united..

Nyie mkubali tu msimu huu mpambane ili mpate nafasi ya kucheza Europa msimu ujao.
 
Similar Discussions

158 Reactions
Reply
Top Bottom