Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
- Thread starter
- #21
Hapa umetuchanganyia habari mkuu.
La kamanda.
nimekusudia kuonyesha jinsi ushabiki wa klabu za EPL na wakenya zimefikia dangerous
levels. Katika hii habari aliyevaa jezi ya Arsenal na maandishi 'fly Emirates' kakosea na
huyo bosi wake aliyemvua hio jezi kadamnasi, nae pia kakosea. Huyo Naikuni lazima
atakua shabiki wa Man-U na kaleta chuki na hasira zake kwenye ghafla.