Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

Unaweza kuwa na million moja hiyo lakini ina mahesabu mengi ukinunulia simu unalala njaa mwezi mzima ndio maana unakaa na H7 kwa mtu mwenye disposable income ya kutosha hawezi kutumia H7.

Lakini sawa maana siku jui unaweza kuwa umeridhika na Tecno yako sio kosa

Pamoja na majibu yako ya dharau nina reserve my comments.Sikujua simu ya bei kubwa inaonyesha uwezo wa mtu kiuchumi !!!!!
 
Really? Wengine hatujali tu. Umenikumbusha sister du mmoja alinishangaa natumia Tecno nikamwambia mimi ninaetumia Tecno lakini nina afford kununua gari kama hili nililokuja nalo huku uswekeni kwenu ila wewe unaetumia Samsung Galaxy huwezi kuafford hata hela ya bajaj!
Bila shaka tecno ndio smart phone yako ya kwanza.
 
Simu ununue wewe, utumie wewe lakini unajihami kama vile uliiba. Kama yalivyo magari, nyumba nk lazima kuwe na fans wa gadgets tofauti. I've never been a fan of tecno, Huawei...or even Samsung, sijawahi hata kuzitumia.

Nadhani ni kuwa fan/mpenzi wa products flani tu. Kama jamaa yangu mmoja humwambii kitu mbele ya gari za Mazda..
 
Tecno inatoa simu ambazo bei yake ni reasonable sana, yaweza kua ram zipo slow (sijajua za faster zikoje) kama mdau mmoja alivyosema, lakini kwa gharama zake naona ram zake hazina tatizo.

Hizi soc za mediatek siyo Tecno pekee wanaotumia hata HTC nishakutana na simu inayotumia mediatek.

List of devices using Mediatek SoCs - Wikipedia

Sijajua ubovu wa kamera mdau kausema kutokea engo gani lakini kuna mtandao ulifananisha kamera ya Tecno C8 na iphone 6 ubora wake katika mazingira ya gizani.

Hapa bado hatujatia into account the reality kwamba simu za Tecno zinakaa sana na chaji kama ukizifananisha na smartphones zingine kama itaachwa haiwezi kua mbali hivyo (nilitumia 1+ na yenyewe inakaa na chaji sana).

Chief-mkwawa
1. mkuu nimeshaongea sana humu Tecno haziuzwi bei rahisi, bei za Tecno ni sawa sawa na samsung na sometime samsung bei zake ni rahisi kuliko tecno. na ikumbukwe samsung kidunia si kampuni inayotengeneza bidhaa nzuri za bei ya chini hivyo mpaka kufikia stage simu za samsung kuwa sawa na tecno ina maana tecno nao wanauza bidhaa bei ghali.
angalia specs za simu hizi
-galaxy j7 prime (aggrey around laki 5)
-honor 5x huawei (kuna mtu amenambia laki 5 tigo)
hizo simu zinatoka kampuni kubwa duniani lakini zinauzwa bei rahisi kuliko phantom mpya hebu niconvice kuwa tecno wanauza bei rahisi

ukija makampuni ya kichina kama xiaomi, na le eco ndio kabisaa utaona unadhulumiwa kwani simu kama xiaomi redmi pro 3 ina specs kubwa kushinda tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa toka kampuni ianzishwe lakini inauzwa dola 150 tu na maeneo kama kenya inauzwa laki 4 hivi, wanaship hadi Tanzania. ukija za bei rahisi xiaomi simu zao za bei rahisi ni around dola 75 hivi na zina specs kama hao kina c9 wanaouzwa zaidi ya laki 3. mfano kama hizi redmi mpya unaweza ziangalia hapa gsmarena
Xiaomi Redmi 3s - Full phone specifications
Xiaomi Redmi 4a - Full phone specifications

2.mediatek ni soc dhaifu hata kesho Apple akitumia mediatek tutaiponda huo ndio ukweli
-hazikai na charge
-virusi kila siku (tembelea jukwaa la tech malalamiko kibao),
-app inajipa root yenyewe (loop za toolkit)
-hazina custom rom za aosp
-update ni za kuunga unga na hazina monthly updates za ulinzi
-gpu dhaifu
-modem dhaifu
etc etc
kuna mambo mengi sana mediatek inapitwa na qualcomm, exynos na A series za apple.

3. nipe link hio ya iphone 6 na c9 tuone, sina c9 ila ninayo j8 ukitaka naweza kukuekea sample na simu kama s5 ambazo zote kwa sasa zinapatikana almost bei moja.

4. napinga simu za Tecno hazikai na chaji labda useme vile vitofali vyenye 5000mah kupanda na uzito unaozidi gram 200. kama mtu anaproof aeke hata screenshot ya battery na matumizi yake tuone.

swali la kizushi hili huwa nawauliza wadau wa Tecno miaka nenda miaka rudi ila hawanipi jibu
ni wapi tecno zimekaguliwa kuwa zinafaa kwa ajili ya matumizi ya binadamu?
 
upload_2016-12-1_17-20-19.png

Watengezaji wakubwa wa simu za mkononi TECNO Mobile na Klabu ya ligi ya Uingereza, Manchester City wamesherehekea uzinduzi wa ushirikiano wa kimataifa kwa miaka kadha kama mshirika rasmi wa Klabu ya mpira ya Manchester City. TECNO Mobile itashirikiana na klabu hiyo kukuza mikakati ya masoko na matangazo ya kampeni sehemu mbalimbali duniani, ikiwemo bara la Afrika ambapo TECNO tayari inatambulika kama kinara wa soko la simu za mkononi.

t1.png

Akizungumza kwenye uzinduzi wa ushirikiano huo wa kimataifa uliofanyika kwenye kituo cha mafunzo na uangalizi wa maendeleo ya vijana, Afisa Mkuu wa Biashara wa City Football Group Tom Glick amesema …>>>“Tunafurahi kuwakaribisha TECNO Mobile katika mkusanyiko wa ushirikiano wa kimataifa, kujikita kwake zaidi katika masoko ya nyumbani kunaendana na namna ambavyo tunafanya shughuli zetu na tunatazamia kushirikiana nao kuungana na mashabiki wa Manchester City duniani kote”

Vile vile Mkurugenzi Mtendaji wa TECNO Mobile Stephen Ha alizungumza katika uzinduzi huo wa kituo cha mafunzo na uangalizi wa maendeleo ya vijana cha Manchester City kwamba

>>>“Tunashukuru sana kushirikiana na klabu yenye mafanikio na inayojulikana ya Manchester City, tutaendeleza uhusiano wetu wa muda mrefu katika michezo kwa hali ya juu kwa kuwapatia wateja wetu uzoefu wakufurahia zaidi simu bora isiyolinganishwa na nyingine”
 
1. mkuu nimeshaongea sana humu Tecno haziuzwi bei rahisi, bei za Tecno ni sawa sawa na samsung na sometime samsung bei zake ni rahisi kuliko tecno. na ikumbukwe samsung kidunia si kampuni inayotengeneza bidhaa nzuri za bei ya chini hivyo mpaka kufikia stage simu za samsung kuwa sawa na tecno ina maana tecno nao wanauza bidhaa bei ghali.
angalia specs za simu hizi
-galaxy j7 prime (aggrey around laki 5)
-honor 5x huawei (kuna mtu amenambia laki 5 tigo)
hizo simu zinatoka kampuni kubwa duniani lakini zinauzwa bei rahisi kuliko phantom mpya hebu niconvice kuwa tecno wanauza bei rahisi

ukija makampuni ya kichina kama xiaomi, na le eco ndio kabisaa utaona unadhulumiwa kwani simu kama xiaomi redmi pro 3 ina specs kubwa kushinda tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa toka kampuni ianzishwe lakini inauzwa dola 150 tu na maeneo kama kenya inauzwa laki 4 hivi, wanaship hadi Tanzania. ukija za bei rahisi xiaomi simu zao za bei rahisi ni around dola 75 hivi na zina specs kama hao kina c9 wanaouzwa zaidi ya laki 3. mfano kama hizi redmi mpya unaweza ziangalia hapa gsmarena
Xiaomi Redmi 3s - Full phone specifications
Xiaomi Redmi 4a - Full phone specifications

2.mediatek ni soc dhaifu hata kesho Apple akitumia mediatek tutaiponda huo ndio ukweli
-hazikai na charge
-virusi kila siku (tembelea jukwaa la tech malalamiko kibao),
-app inajipa root yenyewe (loop za toolkit)
-hazina custom rom za aosp
-update ni za kuunga unga na hazina monthly updates za ulinzi
-gpu dhaifu
-modem dhaifu
etc etc
kuna mambo mengi sana mediatek inapitwa na qualcomm, exynos na A series za apple.

3. nipe link hio ya iphone 6 na c9 tuone, sina c9 ila ninayo j8 ukitaka naweza kukuekea sample na simu kama s5 ambazo zote kwa sasa zinapatikana almost bei moja.

4. napinga simu za Tecno hazikai na chaji labda useme vile vitofali vyenye 5000mah kupanda na uzito unaozidi gram 200. kama mtu anaproof aeke hata screenshot ya battery na matumizi yake tuone.

swali la kizushi hili huwa nawauliza wadau wa Tecno miaka nenda miaka rudi ila hawanipi jibu
ni wapi tecno zimekaguliwa kuwa zinafaa kwa ajili ya matumizi ya binadamu?
Sijawahi kukutana na mtu anatumia hizo xiaomi au eco hivyo bei zake sijui lakini unafuu wa gharama kwangu mimi ninaoumaanisha ni ule kwamba samsung yenye specs kama za tecno phantom 6 bei yake haiwezi kua sawa nayo ni lazima itazidi tu.

Mediatek kua ni dhaifu na inakosa update hilo sipingi ni ukweli ipo hivyo nimetumia htc one x sikumbuki hata ilipoteaje ndani.

Link ya hiyo ishu
Iphone 6 Vs Tecno C8 : Camera Contest - Phones - Nigeria

Tecno iliyo na betri la 2500 mah nina hakika ina maisha marefu kushinda samsung yenye 2500 mah.
 
1. mkuu sijui kama umeisoma vizuri comment yangu hapo juu nimekutajia samsung ya bei rahisi nzuri zaidi ya hio phantom, yaani galaxy j7 prime na nimekutajia na bei ya aggrey kabisa

2.hio comparison ni fake au picha zime editiwa nitakuambia kwanini
-iphone 6 camera yake ni megapixel 8 na mbele ni 1.2 wakati c9 ina 13mp kote kote hivyo picha za c9 zilitakiwa ziwe kubwa kushinda za iphone lakini matokeo yake hapo naona picha zote zipo sawa tena ni vidogo hata 1mp havifiki. huwezi fanya comparison ya camera kihivyo.

3. naomba proof kuwa battery la tecno la 2500mah linakaa sana na charge kuliko la samsung 2500mah, tatizo leno mnaongea proof hamna hata screenshot ya battery ya tecno yako tuma tuone huop ukaaji chaji wake, nenda setting then kwenye battery piga screenshot tuma
 
tecno ina shida gani jamani mbona mi naona ni iko vizuri sana
 
Hiyo ni c8 mkuu sio c9.

By screenshot za battery % unamaanisha zitumwe kila muda au?
 
Halafu watu wavyopendaga majina !!!! Hiyo Samsung cm inashinda kwenye chaji nayo yakujisifia kweli. Halafu ni kipi ambacho mtumiaji wa hizo mnaita cm bora anaweza fanya hakiwezekani katika tecno?
Hata mm najiulizaga, au wenzetu wana app za pekee yao ss wa techno hatuna?

Mbona ma samsung yanawalipukia ovyo
 
Tecno sio simu feki. kinachozuiwa Ulaya ni products feki. Tecno ni low grade smartphone kama itel na nyinginezo. Kwa hiyo kuingia mkataba na manchester united ni fursa ya kujitangaza ili kuweza kupenya masoko ya ulaya.
Wakiendelea kuboresha simu zao zaidi na zaidi baadaye wanaweza kutoa ushindani kwa wakongwe kama Samsung, Apple, htc na wengine.
Kila products zina high grade na low grade,mfano Home theatre systems za high grade toka sony au jvc huwezi kulinganisha na rising au kodtec.

City
 
Kwahio na sisi wenye Tecno sio kwamba tunashindwa kununua hizo nyingine. Mimi ndio uliomsikia mwanzo kusema hiki nilichosema leo.
***
simu zingelikuwa kila ukiandika zinaacha sign ya model ya simu / ungeliona mengi humu.
 
Napiga simu, natuma msg, whatsaap, twitter, insta, jf, nina mobdro nacheki game mwanzo mwisho, natumia utorrent kupakua movie, nacheza game kwa simu yangu hii hii ya tecno,
Hadi hapo ushapoteza asilimia 1 ya uwezo wako wa kufikiri .
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom