Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,545
- 8,608
Mmmmmh..!!!Napiga simu, natuma msg, whatsaap, twitter, insta, jf, nina mobdro nacheki game mwanzo mwisho, natumia utorrent kupakua movie, nacheza game kwa simu yangu hii hii ya tecno,
Mmmmmh..!!!Napiga simu, natuma msg, whatsaap, twitter, insta, jf, nina mobdro nacheki game mwanzo mwisho, natumia utorrent kupakua movie, nacheza game kwa simu yangu hii hii ya tecno,
Wewe wasema tecno hapana wakati nchi yetu hakuna kitu hata kimoja cha kielectronic kinachouzwa njeTecno hapana kwakweli wanahitaji miujiza ya Eliya kuteka soko..
Hata mimi back in the day naama kwenye Blackberry nikaingia kwenye Huawei zile za promotion nikawa na fikiria hivo hivo... lakini siku nilivyo weza kuaffford High end devices nikaelewa. Nilivyo kuwa gizani na siwezi rudi hata nikiona Tecno chini fully boxed nitaokota na kuuza sio kutumia.. so ipo siku utakiri tu.Mimi nina Tecno na sijutii kuitumia nipo na Tecno H7 since Sept 2014.
Hata mimi back in the day naama kwenye Blackberry nikaingia kwenye Huawei zile za promotion nikawa na fikiria hivo hivo... lakini siku nilivyo weza kuaffford High end devices nikaelewa. Nilivyo kuwa gizani na siwezi rudi hata nikiona Tecno chini fully boxed nitaokota na kuuza sio kutumia.. so ipo siku utakiri tu.
Uandishi wako tu unaonyesha unatumia Tecno.....welcome to team "Samsung"Tecno hata unipe bule naweza nsichukue au nkaenda mgawia beki tatu.ila hongera yao pia
Huna lolote, sema unatumia cm kampuni gani? Msishoboke na majina.Tecno hata unipe bule naweza nsichukue au nkaenda mgawia beki tatu.ila hongera yao pia
Nafikiri kunajambo linawatatiza wengi kuhusu China na bidhaa zao.Tecno sio simu feki. kinachozuiwa Ulaya ni products feki. Tecno ni low grade smartphone kama itel na nyinginezo. Kwa hiyo kuingia mkataba na manchester united ni fursa ya kujitangaza ili kuweza kupenya masoko ya ulaya.
Wakiendelea kuboresha simu zao zaidi na zaidi baadaye wanaweza kutoa ushindani kwa wakongwe kama Samsung, Apple, htc na wengine.
Kila products zina high grade na low grade,mfano Home theatre systems za high grade toka sony au jvc huwezi kulinganisha na rising au kodtec.
Halafu watu wavyopendaga majina !!!! Hiyo Samsung cm inashinda kwenye chaji nayo yakujisifia kweli. Halafu ni kipi ambacho mtumiaji wa hizo mnaita cm bora anaweza fanya hakiwezekani katika tecno?Naona sasa TeamTecno mtaweza kutembea vifua mbele na simu zenu bila kuficha Logo na ma sticker tofauti tofauti... Baada ya miaka 7 au 10 hivi waki invest vizuri wanaweza karibia kina Apple, Samsung, Huawei, ZTE, HTC, Sony, One Plus n.k
Tueleze wewe nini tofauti?Sio kweli! ungetumia simu za aina nyingi ungukuwa unajuwa tifauti zilizopo mbona umesema hujui!!!!
Sio bajaji kifurushi cha week kwenye cm yake mgogoloReally? Wengine hatujali tu. Umenikumbusha sister du mmoja alinishangaa natumia Tecno nikamwambia mimi ninaetumia Tecno lakini nina afford kununua gari kama hili nililokuja nalo huku uswekeni kwenu ila wewe unaetumia Samsung Galaxy huwezi kuafford hata hela ya bajaj!
Really? Wengine hatujali tu. Umenikumbusha sister du mmoja alinishangaa natumia Tecno nikamwambia mimi ninaetumia Tecno lakini nina afford kununua gari kama hili nililokuja nalo huku uswekeni kwenu ila wewe unaetumia Samsung Galaxy huwezi kuafford hata hela ya bajaj!
Halafu watu wavyopendaga majina !!!! Hiyo Samsung cm inashinda kwenye chaji nayo yakujisifia kweli. Halafu ni kipi ambacho mtumiaji wa hizo mnaita cm bora anaweza fanya hakiwezekani katika tecno?
Kwahio na sisi wenye Tecno sio kwamba tunashindwa kununua hizo nyingine. Mimi ndio uliomsikia mwanzo kusema hiki nilichosema leo.Ulichokisema nimewahi kukisoma humu, nimesahau alisema nani na ktk thread gani.
Hongera kwa kumiliki gari,mimi nisiyeweza kumiliki gari simu nzuri pia inishinde?
Kwani bei ya galaxy ni sawa na bei ya gari?
Halafu kila mtu na kipaumbele chake,mimi napenda kumiliki simu nzuri,gari nitapanda hata daladala.
Sijasemwa mnashindwa my dear,nimesema mko desperate kutudhihirishia ni simu bora.Kwahio na sisi wenye Tecno sio kwamba tunashindwa kununua hizo nyingine. Mimi ndio uliomsikia mwanzo kusema hiki nilichosema leo.
Honestly....Tecno haiwezi kuwa bora kama Samasung,HTC achilia mbali iphone,BB. Tuwe wakweli, ni kwamba ukiwa nayo unaweza kufanya chochote kama simu ingine ila sio bora kama hizo nilizotaja.Sijasemwa mnashindwa my dear,nimesema mko desperate kutudhihirishia ni simu bora.
Sio kwamba sina hela za kununua simu za 1.0m TZS ila sijaona ubaya wa kutumia Tecno H7,nasoma na kujibu mails ,napata mawasiliano mazuri ,napata internet vizuri na kwa necha ya kazi yangu sijahitaji simu ya RAM kubwa sana kwa sasa mkuu.