Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,975
- 63,986
Tecno inatoa simu ambazo bei yake ni reasonable sana, yaweza kua ram zipo slow (sijajua za faster zikoje) kama mdau mmoja alivyosema, lakini kwa gharama zake naona ram zake hazina tatizo.
Hizi soc za mediatek siyo Tecno pekee wanaotumia hata HTC nishakutana na simu inayotumia mediatek.
List of devices using Mediatek SoCs - Wikipedia
Sijajua ubovu wa kamera mdau kausema kutokea engo gani lakini kuna mtandao ulifananisha kamera ya Tecno C8 na iphone 6 ubora wake katika mazingira ya gizani.
Hapa bado hatujatia into account the reality kwamba simu za Tecno zinakaa sana na chaji kama ukizifananisha na smartphones zingine kama itaachwa haiwezi kua mbali hivyo (nilitumia 1+ na yenyewe inakaa na chaji sana).
Chief-mkwawa