Jamani kuna mwanaume alikuwa akilalamika eti kuna mtu kamrusha elfu kumi ataenda kumkatakata na panga mi mkamwambia mbona hiyo hela siyo kubwa kihivyo kwani yeye ni mwajiriwa sehemu fulani na ana biashara zake. Sasa alikuwa amejiweka karibu namimi sasa alivyoongea hivyo nkaogopa sana nisije pigwa bastola nkamu ecsape mapema tena nkawa namwogopa sana.