Manaume wa hivi si anaweza kumdhuru hata mke wake au hata watoto

Siande

Senior Member
Aug 29, 2013
194
195
Jamani kuna mwanaume alikuwa akilalamika eti kuna mtu kamrusha elfu kumi ataenda kumkatakata na panga mi mkamwambia mbona hiyo hela siyo kubwa kihivyo kwani yeye ni mwajiriwa sehemu fulani na ana biashara zake. Sasa alikuwa amejiweka karibu namimi sasa alivyoongea hivyo nkaogopa sana nisije pigwa bastola nkamu ecsape mapema tena nkawa namwogopa sana.
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,397
2,000

umezoea vya kunyonga ndo maana hujui machungu ya kuvuja jasho wakati wa kutafuta.hujui ni kiasi gani alisweat kwa ajili ya hiyo elf 10,hujui ni kiasi gani hakulala usingizi kwa ajili ya hiyo elf 10,hujui ni muda kiasi gani alioupoteza kwa ajili ya kuitafuta hiyo elf 10,hujui ni hatari ngapi alikutana nazo wakati wa kuitafuta hiyo elf 10,unaongea ki rahisi tu eti mwanamme wa hivi!!!!ningekuona mjanja sana kama ungeamua kumlipia hiyo elf 10 huyo anaedaiwa,yaani ningekupa big up sana kama hiyo hela ungeilipa wewe kwa kuwa umeidharau ni ndogo sana.isitoshe inawezekana kabisa hata wewe hukuwa na hela na ulitegemea kumpiga mzinga mkaka wa watu,sasa ulipogundua za kwake ana uchungu nazo ukaona zitakuletea matatizo ndo ukaamua kusepa na kuleta uzi humu jf
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,919
2,000
Jamani kuna mwanaume alikuwa akilalamika eti kuna mtu kamrusha elfu kumi ataenda kumkatakata na panga mi mkamwambia mbona hiyo hela siyo kubwa kihivyo kwani yeye ni mwajiriwa sehemu fulani na ana biashara zake. Sasa alikuwa amejiweka karibu namimi sasa alivyoongea hivyo nkaogopa sana nisije pigwa bastola nkamu ecsape mapema tena nkawa namwogopa sana.
Ndo kamtapeli au? sijaelewa hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom