Manara: Shiboub = Chama + Kahata

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa wachezaji wawili, Chama na Kahata.

Namnukuu.. "Yule Shiboub achana nae bhana.. Nadhani Chama na Kahata mnawafahamu.. Sasa wale ukiwachukua wote kwa pamoja, ndio unampata Shiboub mmoja."

Anaendelea.. "Yule jamaa kwa jinsi anavyosambaza mipira uwanjani, wanamuita Transit.. Shiboub hakai na mipira kabisa, kazi yake ni kuisambaza tu.. Karibuni Taifa mumshuhudie".

Nipo nawaza hapa.. Kama katika timu Bora katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati, Simba SC,
Shiboub = Chama + Kahata,
Nikipindua Shilingi si itakua,
Shiboub = Papy + Feisal + Sibomana + Makame + Bigirimana + Daudi + Chenjiiiiiii

Anyway karibuni Taifa, mshuhudie Transit linavyosambaza mizigo.
 
Kwanini Mkuu?
mkuu mlifikiria nini kumwacha kotei kiungo ambaye alikuwa na uhakika wa kucheza kwa wastani mzuri
pia ni kiraka??
sio yeye tuu hamkutakiwa kuacha mchezaji hata mmoja maana wale walikuwa na chemistry tayari ila sasa mmeanza upyaaaa!!

tabu mtaipata 😂😂😂
 
Nipo nawaza hapa.. Kama katika timu Bora katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati, Simba SC,
Shiboub = Chama + Kahata,
Nikipindua Shilingi si itakua,
Shiboub = Papy + Feisal + Sibomana + Makame + Bigirimana + Daudi +
😂😂😂 Simbaaaaa!!!
 
Ahmed Ally (Azam Sports) "Manara hajafika Uwanjani bado.... Atafika na Helicopter"
 

Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom