kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Ni timu nyingine au ni hii hii iliyocheza kwa Mkapa?
Sijawai kuona ujinga Kama huu waliofanya rivars Kama huu wa Leo, unapofanya figisu basi uifanye kwa kutumia akili na sio kukurupuka kijingajinga,,unatoa majibu ya covid dk 45 kabla ya mechi husika alafu bado akuna certificate ya majibu ya covid kama mtu yuko positive au negative ni uhuni wa hali ya juu,,,yaani wanaambiwa fulani na Fulani anayo covid imeisha!!!! Sasa tunaingiza timu uwanjani na wachezaji wote wanacheza kwa maana atujapewa kithibitisho chochote kinachoonyesha wachezaji wamepatikana na corona ambacho ni certificate, kazi inaendelea