Manara aiwakilisha Yanga kupokea vifaa vya michezo kutoka kwa wadhamini wa ligi Vodacom

Mbona ni kawaida mtu kwenda kupiga picha na kitu anachokipenda au kupiga picha na mtu unaempenda au super staa, tena yeye bahati yake amepiga bure maana wengine huwa wanalipia hela nyingi tu kupata picha kama hizi
 
Matukio ya KUKURUPUKA.
HAJI manara kawawakilisha baba zake damu nzito kuliko maji asili yake imemsukuma well done Haji.
Kitwana popat Manara
Sunday computer manara
Kassimu Manara
Wote ni Manguli waliocheza Yanga eti Toto yao msemaji wa Simba. Narudia tena ETI
 
Yanga wameipa Vodacom hasara baada ya kuchukuwa kombe mara tatu na kulifungia klabuni...voda wamekondaa
 
Back
Top Bottom