Manager: Nashawishiwia kupewa ngono ili nitoe kazi

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Heri ya Jumapili,

Naomba leo tuweze kushare experience ya kazi yangu na yale yanayotokea.

Mimi ni manager wa Taasisi flani ya fedha kubwa kubwa na nna mke na watoto wa wili Jay na Rose, i love my family every second in my life.Kimuonekano nawezasema ninamvuto maana mara nyingi nasifiwa hivo kwamba mi ni bonge la bwana hasa ukizingatia ni mcheshi na kumjali kila mtu bila kuangalia hadhi yake.

Katika harakati za kuajiri watu ofisini kwetu nakumbana na wadada wengi wasomi na wazuri mbali na interview ninazozifanya mara nyingi nikishawishiwa na jinsi wanavyojibu pia hata mapozi ninayowekewa nahisi kupoteza mwelekeo wa mahojiano.

Mbaya ni hivi karibuni amekuja kuomba kazi mtoto mzuri wa kichaga mixer mgiriki kwa kweli ni mzuri na akili kichwani zipo sana.Baada ya interview akiwa amegundua kiasi nimefurabishwa nae kwa uwelewa wake alinisubiri mpaka mida ya kutoka kazini nakuomba aongee na mimi na ndipo aliponieleza kwamba 'anahitaji anipe penzi ili nimpe kazi' na kama pongezi kwaku muinterview vizuri.

Hoja ni kwamba binti anaonekana competently katika hii field ya nafasi alioomba pia yuko serious na anachotaka ni mfanyie, je haito haribu kazi?

Na nikikubali atakuwa mwanamke wangu wa kwanza mimi kumsaliti mke wangu je nitaweza kumudu kazini na familia yangu?
 
Ajal kazin pita nae papuch za msimu hzo so zAKUziachia ziondoke buree kaka manager
 
Aliyekupa U manager analo kwa kweli.

Inakuwa je manager hawezi kujimanage ata manage vip kampuni?:(

Wewe kwa uelewa wako mapenzi na kazi vinachanganywa? Kwa experience yangu ya management kwenye Top positions mpaka hapo ameshakosa ethics za kuajiriwa.

Hawezi kuleta ufanisi kazini kwa kugawa K:cool:
 
Kaka, una options mbili..

Option 1

Mpige chini ajiri mtu mwingine, siamini yeye ndo competent kuliko vijana wote nchi nzima

Faida: utajiepusha nae na utaiokoa familia yako kusambaratika

Changamoto: huenda akaendelea kukusumbua, lakini haidhuru kwa kua yupo mbali ni rahisi kum avoid au block number yake asikupate kwa simu

Option 2

Mwajiri, kula mzigo.. Act as nothing ever happened kati yenu.

Challenge: kuna possibility kubwa ya kusumbuliwa zaidi akiwa ndan ya Taasisi au akakuletea dharau (mara nyingi vijana tunakua wapole kwenye interviews, subiri tupate kitengo utashangaa na roho yako)

Ni hayo mkuu
 
Back
Top Bottom