Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

kwa idadi ya post wanazotoa watu kwenye groups wanaoomba ingekuwa hata anapatikana 1/10 ila sijawahi kuona

labda ni wale wanaweka post geresha huku wakiwa wana majina yao tayari
Kinachonishangaza ni Hilo shirika kutangaza ajira nyingi kila siku
 
Haha ni kweli kabisa.
Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na muhusika na kuewa maswali na majibu na akamkuta muhusika kwenye panel so akateleza tu.

Mimi nina jamaa yangu ni senior lecturer chuo kikubwa hapa Tz, na kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi USA kwenye program za HIV kwa miaka 7 kabla ya kuitwa bongo aje afundishe. Anakuambia kazi za MDH za regional manager ameomba mara kibao ila hola mpaka akaniuliza..."Mzee hawa jamaa wako serious kweli, hata interview moja sijawahi itwa"..so nikamwambia pale bila connection ni kazi ngumu kupata kama ni jinsia ME. Chances za kupata sio zaidi ya 10%.

So wewe kama unaomba omba tu, ila ujue anything can happen manake mungu ndio muweza wa yote.

Nina experience pia
Huyo mdada aliajiriwa kabla vyeti havijatoka
Yupo Tabora
Wala hakutuma maombi alimpa mtu CV shughuli ikaisha
 
Haha ni kweli kabisa.
Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na muhusika na kuewa maswali na majibu na akamkuta muhusika kwenye panel so akateleza tu.

Mimi nina jamaa yangu ni senior lecturer chuo kikubwa hapa Tz, na kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi USA kwenye program za HIV kwa miaka 7 kabla ya kuitwa bongo aje afundishe. Anakuambia kazi za MDH za regional manager ameomba mara kibao ila hola mpaka akaniuliza..."Mzee hawa jamaa wako serious kweli, hata interview moja sijawahi itwa"..so nikamwambia pale bila connection ni kazi ngumu kupata kama ni jinsia ME. Chances za kupata sio zaidi ya 10%.

So wewe kama unaomba omba tu, ila ujue anything can happen manake mungu ndio muweza wa yote.
What do you mean aliombwa mambo akatoa...
alipigwa miti!!??
 
Hili shirika nahisi linataka attention tu. Na wana watu wao tayari maana kuna kipind nilimpelekea application dogo nikakuta wengne maombi yao yanachukuliwa kwa simu😂mtu anafika MDH HQ anapiga simu staff anakuja kuchukua bahasha wengne mnaacha mapokezi au kwa mlinzi.
🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom