Manachama mwenzetu Mtambuzi amefiwa na baba yake!

Tegelezeni

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
268
124
Ni hivi punde nimepata ujumbe kutoka kwa mwana jamii Forum mwenzetu Mtambuzi kuwa amefiwa na baba yake na kesho anasafiri kwenda Moshi Kilimanjaro kwa mazishi. Tumuombee mwenzetu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
 
pole sana kaka,...nimeona post zake za leo humu jamvini
 
Pole sana mkuu mungu akupe ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu !
 
Pole sana mtambuzi mungu akupe faraja tele na uvumilivu.
 
Pole sana Mtambuzi kwa kufiwa, na mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.....amen!
 
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako, R.I.P mzee wetu.
 
Pole sana mkuu......hiyo ni njia ya wote......R.I.P baba yetu
 
Back
Top Bottom