Man who abandoned wife, six kids returns home after 51 years

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,092
OLD+PIC.jpg

Francis Muthua Chege mwenye umri wa miaka 81 sasa aliondoka nyumbani kwake katika Kijiji cha Ikumbi mnamo mwaka 1968 akiwa na umri wa miaka 30

Wakati huo hakumwambia Mkewe wala Watoto wake 6 kuhusu sehemu anayoelekea na kuwaachia simanzi na taharuki ya kumtafuta Baba yao

Mkewe Wanjiru Muthua amesema kuwa kwa wakati wote huo alikuwa akiwahudumia Watoto wake peke yake huku akiendelea kumtafuta Mumewe

Mzee huyo amesema kuwa alipoondoka alienda kujaribu kufanya biashara huko Kisii, Narok na Kilgoris lakini hakufanikiwa ndipo aliporejea kwenye msitu wa Mau kuchoma mkaa

Akiwa katika msitu wa Mau alibahatika kuoa tena na kupata Mtoto wa kiume, kutokana na ulevi mkewe alimuacha na kuishi maisha mabaya zaidi

Asema anasikitika amerejea kwa mkewe akiwa mikono mitupu baada ya Serikali kuwaondoa watu wanaoishi katika msitu wa Mau
=======

An 81-year old man has returned home after disappearing for 51 years, thanks to the ongoing Mau Forest evictions.
Mr Francis Muthua Chege left his home in Ikumbi village of Kigumo Constituency, Murang’a County, in 1968 when he was 30 years old.

He did not inform his wife and six children where he was going, leaving them with the agony of finding him.
The man’s Wife Wanjiru Muthua said she had to look after the children alone while looking for him and checking with her in-laws.

Mrs Muthua said she once met him in Kisii town but that when she returned, she was told he relocated to an unknown place.

She said she gave up the search for her husband, who was to provide for and educate the children, but hoped he would return one day.

“My only option was to leave his whereabouts to God, pray for his protection and hope that one day he would show up. I had to do that so as to concentrate on looking after our children and ensuring they went to school,” she said in an interview on Monday. “He was only 30 when he left.”

Muthua1.jpg

Mr Muthua narrated to his family and the entire village that he went to Kisii, Narok and Kilgoris towns where he tried his hand in business but was unsuccessful.

He later turned to the business of burning charcoal in Mau Forest, settled and even got married but the union did not last long due to his drinking habits.

“I would burn charcoal and spend all the proceeds on alcohol. My second wife and my son could not tolerate my habits so she called it off. I lived a miserable life and felt the shame of going back home with nothing,” he said.

He also said he had no option but to return home as the government started the fresh eviction of settlers from Mau Forest in the bid to save it from further decline.

Mr Muthua went to Kilgoris Police Station and pleaded with the officers to give him bus fare to return to his natives.
He remembered the village but not exactly where his home was. Upon reaching Ikumbi shopping center, tired, hopeless and confused, he slept by the road.

Villager Monicah Gathoni spotted him near Ikumbi Primary school and thought he was hungry.
She approached him but he did not speak.

“He was worn out, sick and seeking mercy. He told me he was trying to locate his home after leaving for many years. After describing his home, I paid a boda boda rider to take him there.”

Mr Muthua’s children, now much older and running their own businesses, arranged to go home when they heard of their father’s return.

Neighbours gathered in large numbers to ascertain that a man who left while a youth had returned.
The family and the village slaughtered goats and organised a feast to welcome Mr Muthua and gives thanks for the reunion.

One of his sons, a secondary school teacher in Ndaragwa, Nyandarua County, said he was too shocked by the news to keep away.

He said he needed to see his father “for the first time” since he left when he was too young to understand or remember.

Muthua2.jpg
 
Daaaaah
Aisee, Kweli wanawake Mungu awabariki sana.
Sijawahi sikia wala ona mwanamke amekimbia familia/watoto - tukiacha wale wanaotupa au kutelekeza vichanga. Atapambana nao hata kwa kuuza vitu vidogodogo na kujiuza mwenyewe walau maisha yasogee.
Miaka 51??? hawezi kuwa na excuse ya maana ya kumfanya hata asipige simu, halafu eti leo analeta pua yake. Shubaaaamit
 
Ila haya mambo bhna yapo. Dada yetu mmoja alishawahi kuondoka akiwa na age ya 28 iv baada ya kuachika kwa mumewe. Alirudi home akiwa na age ya 69 iv. Alirudi akiwa ana wajukuu tayali. Dah maisha aya *****
Na wewe una umri gani saiv,
 
Sema kwa ajili ya mafundisho ya dini yanavyokolea vichwani mwa watu; samehe saba mara sabini=490, ambapo hauwezi kukariri mzunguko wa hiyo hesabu ukawa bado una kumbukumbu halisi.

Huyo mzee ni mbinafsi wa roho, kakimbia majukumu yake ya kutunza na ulinzi wa familia yake kwa miaka nenda rudi, karudi keshakuwa skrepa!

Pale alipo ni chawa tupu na ari ya afya ya akili, itakuwa imepinda.

Hakustahili huruma ya mke wala watoto.

Nimeamini kuwa laana zipo na malipo ni hapa hapa duniani, ahera ni mahesabu tu.
 
Back
Top Bottom