Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

Sio kweli kiba hawezi kulipa hiyo hela ni dharau,jeuri na kujiona mjuaji na kutaka kumkomoa jamaa, nothing else, nimesikiliza interview yake kaongea kwa dharau sana yule broh
We ulitaka Aongeeje? Unataka aongee unavyotaka Wewe?
 
Man Water Studio yake Haina Jipya Ana njaa Kiba alikua anamweka hewana sana,.

Kiba anambeba Sana Man water studio yake ilishapoteza Mvuto,. Ukibisha Weka Hit tofauti za Ali kiba alizozifanya Man Water kwa Miwili au mitatu nyuma.
Kumbe wewe ni shabiki wa kiba ndomaana unaichukia WCB ila una moyo kumshabikia Kiba dah!
 
Kumbe wewe ni shabiki wa kiba ndomaana unaichukia WCB ila una moyo kumshabikia Kiba dah!
Kwahiyo ulitaka kila MTU Tanzania amshabikie domond? Unataka kusema mama ako pia ni shabiki wa domond? Baba ako je? Unataka kusema mama ako asipomsikia domond usiku halali?
 
Kwahiyo ulitaka kila MTU Tanzania amshabikie domond? Unataka kusema mama ako pia ni shabiki wa domond? Baba ako je? Unataka kusema mama ako asipomsikia domond usiku halali?
Bora umshabikie harmonize kuliko kiba me mwenyewe nilishakuwa mshabiki wa kiba tokea atoe ngoma ya aje sijawahi kufurahishwa na ngoma zilizofuata baada ya hapo.
 
Pasipo haya mambo dunia haijakamirika au kwa mtizaml wako tuwe kama kisiwa yaani watu wasizungumzie watu maarufu eti kwa kwa sababu hupati pesa.

Dunia haiwezi kuwa yenye furaha, karaha nk kwa kuacha kuongelea haya
Unakasirika, unafurahi na wakati unanuna kutoka kwa mtu ulie maili nyingi kama si kilometa za kutosha kutoka hapo ulipo hadi pale alipo, Makutano makuu ya mara kwa mara ni "SOCIAL MEDIA"

JITAFAKARI UNAPOTAKA KUANGUKIA UPANDE WA PILI, inaharibu sana maisha.
 
Bora umshabikie harmonize kuliko kiba me mwenyewe nilishakuwa mshabiki wa kiba tokea atoe ngoma ya aje sijawahi kufurahishwa na ngoma zilizofuata baada ya hapo.
Hizo nyimbo ni mbaya kwako tu but kwa watu wengine ni ngoma Kali na watu wanaenjoy flavor km kawa, Mimi sio shabiki wa msanii km wewe Mimi ni shabiki wa muziki mzuri so kiba asipotoa ngoma hata miaka10 atajijua mwenyewe ili mradi wasanii wengine wanatoa ngoma Kali mi naendelea kuenjoy flavour ya muziki mzuri that's all,
 
Back
Top Bottom