Man Utd tunaua tuvulana leo

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Vipi gem ya leo ndugu zangu? jinsi Man U ilivyo kwenye form siogopi kuahidi mvinyo kwa watu watakao kua karibu na meza yetu, karibu tunywe hope nitakua san ciro
 
Hivi saa ngapi linaanza?
 
Kuhusu matokeo subirini hapa refa atakupopuliza filimbi ya mwisho.

Kuhusu muda wa miche itategemea utakuwa wapi wakati huu. Ila kwa saa za uingereza ni saa mbili usiku. Sasa piga mahesabu ya tofuati ya saa kulingana na sehemu uliko wewe.
 
Jumlisha jumlisha hapo kwa bongo unapata saa tano kamili. nje ya bongo kama alivyo longa mkuu hesabu vidole!:whoo:
 
Back
Top Bottom