MAN UNITED jiandaeni kwa msimu ujao msimu huu kama na huyu ni benchi basi

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
Straika wa Man U, Van Persie, kumisi mechi 8 za Mabingwa UEFA, kutocheza mwezi 1 baada ya kuumia J4, kocha wake D. Moyes asema leo alasiri.
 
Hata angekuwepo, hana madhara. Mbona mechi kadhaa alizocheza yeye timu yake imefungwa?

Angeliumia Rooney na kukaa nje muda wote huo hapo kweli hali ingekuwa tete!
Barasu taratibu kiongozi tusubiri tuone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom