Straika wa Man U, Van Persie, kumisi mechi 8 za Mabingwa UEFA, kutocheza mwezi 1 baada ya kuumia J4, kocha wake D. Moyes asema leo alasiri.