Man united hongereni.

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
1,250
Japo hako kakombe ka league mmechukua na penalty ya kupewa mtakiona cha moto moscow,THE BLUES lazima wawe mabingwa wa champions league.
 

Manda

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
2,073
1,500
Japo hako kakombe ka league mmechukua na penalty ya kupewa mtakiona cha moto moscow,THE BLUES lazima wawe mabingwa wa champions league.

''kakombe''- ingawa kadogo lakini katamuu!

''penalty ya kupewa''- safii sana ila labda umesahau vilevile tumenyimwa penalty pia...sasa subtract ile then add hii..jibu unalo Chapaa.

''Ze blueaz lazima muwe mabingwa''- yeep it might be..lakini kumbuka...its not over till it over!
One Love One United!
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,683
1,195
Roya Roy, Idimi, Icadon na the rest of The Man U fam, I'm posting
these pics here kwa roho safi.Tuko tugeza japo tunasupport timu mbili tofauti.Personally I would say kuna vijana kama wawili watatu wanapiga Man U ambao ninge-wish wa kwetu.Tuko pamoja!!!

3950.jpg


3949.jpg3948.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom