Man u wenzangu vipi, december ndo hiyooooooo inapita.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Mimi ni shabiki la mashetani wekundu, enzi za babu tulikuwa tukijua hata kama tuanze vibaya vipi ukifika mwezi wa december tayari tunakuwa tushaanza kuichukua nafasi yetu, x-mas na mwaka mpya tulikuwa tunaula tukiwa pale juu kabisa na tukishafika hapo kazi imekwisha, cha kushangaza mwaka huu december ndo hii, hata dalili za kwenda juu hakuna bali kama tunashuka, ndo tujue Moyes katuletea ya Evaton??????
 
Hali mbaya mdau, Moyrs kaleta majanga tu OT nafasi ya 8 kuelekea X-mass?? Ila ndo ishatokea ati
 
Mara hii mambo yamekuwa magumu sana
hasa ukizingatia siku ambazo timu inacheza
na unategemea ipate ushindi ili kupunguza
nafasi kati ya walioko mbele yetu basi

Huwa tunapata matokeo tofauti hasa kama
sio kufungwa basi ni kusuruhu.
Lakini muda upo huenda Man U ikawa kwenye
timu nne hapo juu.
 
Mimi ni shabiki la mashetani wekundu, enzi za babu tulikuwa tukijua hata kama tuanze vibaya vipi ukifika mwezi wa december tayari tunakuwa tushaanza kuichukua nafasi yetu, x-mas na mwaka mpya tulikuwa tunaula tukiwa pale juu kabisa na tukishafika hapo kazi imekwisha, cha kushangaza mwaka huu december ndo hii, hata dalili za kwenda juu hakuna bali kama tunashuka, ndo tujue Moyes katuletea ya Evaton??????

Kazi tunayo mwaka huu wadau wa Man U
 
kweli leo nimefurahi nyie mnajifanyaga mnafuata historia...lazima mtataga mwaka huu!
The citizens oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
hata nafasi ya 4 sijui ati, naona kama Moyes anakazania nafasi ya Evaton.
 
wewe naona ni Arsenal, kumbuka ligi bado.
kweli leo nimefurahi nyie mnajifanyaga mnafuata historia...lazima mtataga mwaka huu!
The citizens oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Mshukuru welbek alijirusha ndio mkapata penart nje ya hapo HII THREAD ISINGEANZISHWA
 
Mara hii mambo yamekuwa magumu sana
hasa ukizingatia siku ambazo timu inacheza
na unategemea ipate ushindi ili kupunguza
nafasi kati ya walioko mbele yetu basi

Huwa tunapata matokeo tofauti hasa kama
sio kufungwa basi ni kusuruhu.
Lakini muda upo huenda Man U ikawa kwenye
timu nne hapo juu.
hata nafasi ya 4 sijui ati, naona kama Moyes anakazania nafasi ya Evaton.
 
Mshukuru welbek alijirusha ndio mkapata penart nje ya hapo HII THREAD ISINGEANZISHWA
Hahaaaa mkuu Welbeck kawa "diver" kama "A. Young"....sijui lini wataacha kuongopea marefa...Poor Manure!!
 
Si kweli, nimeianzisha nikijua hali yetu ni mbaya, hata kama tungefungwa ningeanzisha tu.
Mshukuru welbek alijirusha ndio mkapata penart nje ya hapo HII THREAD ISINGEANZISHWA
 
Hivi Everton mnamuweza??????????? Mirallas,barckley&piennar! Ngoja tuone but WANAKAMIA SANA
 
Manchester United imecheza game moja tu December wewe unasema December imeisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom