JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,937
Mimi ni shabiki la mashetani wekundu, enzi za babu tulikuwa tukijua hata kama tuanze vibaya vipi ukifika mwezi wa december tayari tunakuwa tushaanza kuichukua nafasi yetu, x-mas na mwaka mpya tulikuwa tunaula tukiwa pale juu kabisa na tukishafika hapo kazi imekwisha, cha kushangaza mwaka huu december ndo hii, hata dalili za kwenda juu hakuna bali kama tunashuka, ndo tujue Moyes katuletea ya Evaton??????