Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe! Kweli Man U hamjatutendea haki kabisa!