Man Fongo na E-FM wayamaliza, aonekana kwenye Jukwaa la E-fm

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,842
43,296
Wasalaam wana jf.
Kama mtakuwa na kumbu kumbu E-FM na Man fongo waliingia kwenye mgogoro baada ya Man fongo kukubali kufanya show lakini dakika ya mwisho kabisa hakutokea eneo la tukio na kuonekana kwenye jukwaa la Clouds FM.

Mgogoro huu ulipelekea nyimbo za Man FONGO kutopigwa E-fm lakini leo hii imeonekana kabisa mambo yamekwisha na amani imepatikana.

Nifuraha sana kwa walio kwaruzana wakipatana.
 
Weka video ili habari yako inoge
 
Mkuu nilitegemea utapost kitu cha ccm lkn sivyo ndivyo Umepatwa na nn mkuu?
 
Baada ya mwaka mmoja tutapata picha za huyu jamaa akiwa kaisha kwa uteja....

Maana toka "Hainaga ushemeji" ipite anachokiimba akieleweki
 
wewe ni kuku mgeni jukwaa hili.
Mm ni binadamu na siyo kuku km ww ulivyo.
Haya mambo huyawez ndiyo maana hata uzi wako umekosa wachangiaji.
Fani yako ni kuripoti mambo ya chama cha majambaz tu. Huku umeandika ma nn?
Uzi umeutoa jana mpaka leo umepwaya.
 
Nimemuona jumamosi anapafomu pale Kawe kwenye shindano la EFM, alipopanda tu mzee wa kama una geto onyesha funguo ,Sholomwamba alipagawisha mashabiki ambao walianza kumtunza pesa na kumpa shangwe kubwa tofauti na man fongo.

Kwasasa Sholomwamba anakimbiza ,akifuatiwa na dula makabira mzee wa utatoa hutoi ...Msagasumu yeye yupo constant hapandi wala hashuki ila Man fongo kaporomokaaaaa
 
Dulla Makabila ninamwelewa sana na kibao chake cha Hujaulamba - Utatoa Hutoi.
 
enzi zake yupo juu dullah makabila alimuomba colabo akamwambia akaongee na meneja wake makabila kurudi kwa meneja akamwambia hamna shida nendeni studio malizana na manfongo akawa anakwepa

leo anamfata makabila yupo juu anataka colabo makabila nae akamjibu ngoja niongee na meneja anakwambia mwenzio akikufanyia ubaya na ww unamlipa kwa ubaya mzee wa utatoa hutoi ndio kiboko yao nafasi yake hii
 
Shunie utatoa hutoi na uliza utatoa hutoiii
 
Back
Top Bottom