Mamluki waanza kudhalilika, aliyehamia ACT-Wazalendo juzi leo karudi tena CCM

Na hawa wahuni wanavyomuogopa huyo yesu fake ndiyo sababu Bunge limekuwa DHAIFU kuliko wakati wowote ule na hawaihoji Serikali kwa madudu chungu nzima ikiwemo kudharau katiba, kudharau Bunge na pia Mahakama.

99% ya matatizo makubwa ya Nchi yetu chanzo chake kikuu ni uwepo wa ccm madarakani.

Yaani 95% ya wabunge na madiwani wa ccm woote hakuna mwenye mapenzi ya dhati na chama chao, wao kipau mbele chao ni maslahi tu.

Huu uwe ni mfano halisi wa wabunge wa ccm
 
ACT itatumika kama condom kwenye huu uchaguzi. ACT Ni kinga ya CCM.
Chadema 2015 hamkujua kuwa mnatumika kama Condom? Unaifanya CCM ionekane kibeberu cheusi afu opposition vimbuzi jike. Hivi kumbe ndio maana Magufuli haelewani na Mabeberu wenzake maana vidume havikai zizi moja, Upinzani Tanzania na hata Africa kiujumla bado sana, kote upinzani walikopewa nchi mambo yamekuwa worsen up.
 
Back
Top Bottom