Mamluki waanza kudhalilika, aliyehamia ACT-Wazalendo juzi leo karudi tena CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,429
_Naomba Radhi kwa Viongozi wa CCM, akiwemo Mwenyekiti wa Chama Taifa, niombe Rad ( 592 X 640 ).jpg

Huyu anaitwa Hassan Masala ambaye alikuwa mbunge wa Nachingwea kwa tiketi ya CCM Bunge lililopita, baada ya kupigwa chini kwenye uteuzi akahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge, kura zake hazikutosha .

Leo tena kaamua kurudi CCM.
 
Yaani 95% ya wabunge na madiwani wa ccm woote hakuna mwenye mapenzi ya dhati na chama chao, wao kipau mbele chao ni maslahi tu.

Huu uwe ni mfano halisi wa wabunge wa ccm
 
Back
Top Bottom