Mamlaka zatoa ufafanuzi wa Serikali kutotoa taarifa za hali ya Corona nchini

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
Mamlaka za Afya zimesema taarifa za Corona hazijatolewa kwasababu bado wanashughulikia ripoti ambayo itatoa mwanga wa lini taarifa hizo zitatolewa

Mratibu wa Kitaifa wa Corona, Dk. Tumaini Haonga amesema licha ya ukimya, vipimo vinaendelea katika Maabara ya Afya ya Taifa na majibu yatatolewa na Mamlaka zinazohusika

Amesema waliofanyiwa vipimo wanapokea majibu yao na kwamba, matokeo kutangazwa kwa wananchi hutegemea kama taarifa zinajitosheleza kwani wamegundua sio busara kutoa taarifa za kila siku kama namba ni ndogo

Wizara ya Afya ya Zanzibar nayo imesema itaanza kutangaza matokeo Jumatatu ijayo. Waziri Hamad Rashid Mohammed amesema waliagiza mashine mpya ya upimaji na zoezi la kuifunga linaendelea hivi sasa

Mara ya mwisho kutolewa kwa taarifa ilikuwa wiki iliyopita, Aprili 29, 2020 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitangaza Tanzania ina jumla ya visa 480, vifo 16 na wagonjwa 167 waliopona

=========

Today marks seven days since the government released results of samples tested for the coronavirus, as health authorities coordinating the Covid-19 fight say they are still working on a comprehensive report and that would determine when the results would be out.

Until yesterday, the only publicly available update on the state of Covid-19 in the country was a report issued since Wednesday last week by Prime Minister Kassim Majaliwa which indicated that there were 480 confirmed cases of the viral disease with 16 deaths in Tanzania.

The data combined results of samples obtained from Tanzania Mainland and Zanzibar. But according to the National Coordinator for Covid-19 Response and Ministry of Health’s Public Health Emergencies’ Risk Communication Officer, Dr Tumaini Haonga, the testing of samples is ongoing at the National Health Laboratory and results would be announced by the relevant authorities.

He did not, however, explain if there was a set date or interval for release of the data.On Sunday President John Magufuli took a swipe at the test results issued by the National Health Laboratory, saying the lab should be investigated for alleged “sabotage,” after samples of sheep, pawpaw and goat that were secretly sent to the facility returned positive results.

The laboratory’s director, Dr Nyambura Moremi, and the quality assurance manager, Mr Jacob Lusekelo, remain suspended pending investigations, heightening concerns as to whether further results on tested samples would be released to the public.

Dr Haonga told The Citizen yesterday that people who have been tested for Covid-19 in the country are receiving results but he emphasized, saying the public release of the results will depend on whether there is enough data to issue out to the public.

“We noted that it was not sensible to give daily updates of small numbers. It was then decided that a comprehensive report would be issued by the Ministry of Health or another relevant authority at an opportune time, alongside other public health sensitisation messages on Covid-19 prevention,’’ said Dr Haonga.

The Zanzibar Ministry of Health says it would resume the process of releasing results next Monday. For the past six days, Zanzibar had stopped issuing results of the tested coronavirus samples.

The minister, Mr Hamad Rashid Mohammed, told The Citizen that a new testing machine was still being installed in the Isles.
“We ordered for a testing machine which we are in the process of installing and we will start issuing results by Monday nest week,’’ said the minister in a phone interview.

The Covid-19 testing results are central to the management of the disease and are key in helping relatives of the deceased who test positive to know how to conduct the burials.

The Chief Medical Officer Prof Abel Makubi on Tuesday said the government had allowed relatives who preferred to be given the bodies of their loved ones for burial at their homes to do so.

He asked regional authorities to set procedures that would help people to conduct burials as they protect the general public against.

CITIZEN
 
The matter slowly comes out of "Government handling". Hii si ngoma ya kitoto.
 
Leaving Political affairs, we face dearth in testing kits and this leads to underreporting of cases daily. A country's testing capacity is low compared to developed ones. This capacity should be considered. The health workers only take tests to those with heavy Symptoms only.

Giving daily updates help to understand the rate of growth of this pandemic and will find new measures to increase an awareness of it across the country. But this doesn't happen in our country.

A lot of people are infected but are not aware or showing any kind of symptoms so we have to wait a lot of samples to be tested from National Lab, and those results are the ones that will be publicly announced. How about others? The situation will become worst and they will die.

The rate of deaths and spreads will still grow and the actual data will not be obtained.

And this shows if the situation like this will still be in Africa countries, we will be new centre of the pandemic.
 
Kama uko salama, wewe na familia yako, majirani, ndugu na marafiki, ya nini kuwa na hofu na kung'ang'ania kujua idadi ya walioambukizwa na vifo kutokana na COVID-19?

HIVYO basi, COVID-19 isitupe hofu tukajifungia pasipo na sababu.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
 
Hakuna mtu mbaya kama anayeficha ubaya ukumalize ilhali anajua. Hawa ni watu wa kuwaogopa saivi wanataka watoe taarifa za kufurahisha wachache wengi waumie.

Kama mmeshindwa kuzuia mikusanyiko tufungulieni tu shule maana korona haipo kama mnavyodai mpo radhi wazazi wafe kwa kisingizio cha kuwapigania wanafunzi
 
Leaving Political affairs, we face dearth in testing kits and this leads to underreporting of cases daily. A country's testing capacity is low compared to developed ones .

Not only developed countries have high testing capacity, but even some underdeveloped countries have good testing capacity (Look at Rwanda, Ghana testing capacity).
Tanzania, Burundi, DRC Congo they are taking easy. Business as usual.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijalala na kabla sijatoka kitandani namkabidhi Mungu maisha yangu na kumshukuru kwa kuniamsha na kunilinda siku nzima huku nikiendelea kuchukua tahadhari kubwa. Kwa sababu mpaka sasa siielewi nchi yangu.
 
Mimi siku hizi nakaa juani ili wadudu kama wamenivaa wafe, haya mambo ya kusubiri data magumu, hayaeleweki, tuishi hivihivi kiujanjaujanja, kimagumashi, we take chances!
 
Mmm mkuu
Screenshot_20200503-150333.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not only developed countries have high testing capacity, but even some underdeveloped countries have good testing capacity (Look at Rwanda, Ghana testing capacity).
Tanzania, Burundi, DRC Congo they are taking easy. Business as usual.


Sent using Jamii Forums mobile app
Those mentioned countries maybe they will wake up when the actuality of words from Melinda become really
 
Back
Top Bottom