Mamlaka za Ukraine zatangaza kuuwawa kwa Generali mwengine wa Urusi

Putin huenda labda hafahamu kama mamluki wa jeshi la ISRAEL kama wapo vitani kwa usaidizi wa ukraine na MOSSADI na CIA wako kazini kuhakiksha ukraine inapata usaidizi wa vita wenye faida
Boss habari ya Langley? Msalimie madame Gina. Ikikupendeza tudondoshee classfied docs zaidi kuhusu hii vita...!
 
Putin huenda labda hafahamu kama mamluki wa jeshi la ISRAEL kama wapo vitani kwa usaidizi wa ukraine na MOSSADI na CIA wako kazini kuhakiksha ukraine inapata usaidizi wa vita wenye faida
Hakuna kiongozi anaweza mpa putin ripoti mbaya dhidi ya jeshi lake na operation, inabidi wataje mafanikio tu wasije wakauliwa
 
Back
Top Bottom