I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
Nchi ya Saudi Arabia imepiga marufuku vitu vyote vyenye mionekano ya upinde wa mvua ikiwemo nguo na midoli. Huku wakieleza kuwa vinahamasisha matendo yaliyo kinyume na sheria za kiislamu kama mahusiano ya jinsia moja.
Kwa mujibu wa sheria wa nchi hiyo; yeyote atakaye gundulika kujihusisha na vitendo hivyo adhabu yake ni kifo au viboko. Itategemea na kesi itachukuliwa kwa uzito gani.
Pia, imepiga marufuku kwa wanaume kujifanya mwanamke au kuigiza kwa namna yoyote kama mwanamke; kwa kuvaa nguo za kike na hivyo hivyo kwa wanawake kufanya kinyume chake.