Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

Shikamoo Mh Rais nafulai sana unavyo waonyesha upo a head of them..
Walianza mjengoni ukawapigia kimya wakaenda mbali nakukukashifu unapeleka familia pale Kwa CAG kesho kutwa wana aibika wenyewe mzoga walio ingiza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe. Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea...
Sasa yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa n yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham wewe unapiga kimya kimya..
Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of you..
Kama hamjamuelewa endeleeni kutishiana wenyewe kwa wenyewe na kumfanyia unafiki mnamsaidia lakini hapakuchi mtashangaa anawaonyesha mnacho panga.
Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.
Maji taka!
 
Kila watanzania 4 mmoja ni kichaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nimekuelewa flani hivi. Ngoja tukijaaliwa nione hiyo jumatatu kama vile vichwa vimelika kweli kwanza

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Shikamoo Mh Rais nafulai sana unavyo waonyesha upo a head of them..
Walianza mjengoni ukawapigia kimya wakaenda mbali nakukukashifu unapeleka familia pale Kwa CAG kesho kutwa wana aibika wenyewe mzoga walio ingiza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe. Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea...
Sasa yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa n yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham wewe unapiga kimya kimya..
Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of you..
Kama hamjamuelewa endeleeni kutishiana wenyewe kwa wenyewe na kumfanyia unafiki mnamsaidia lakini hapakuchi mtashangaa anawaonyesha mnacho panga.
Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.
Duu hili sijui ni zao la shule ya mkoloni au kata, maana uandishi huu unatisha
 
huyu jamaaa atakuwa ana odds za mla vichwa kuliwa sema kazidi kubana mno.. anyway tusubiri pale tutakapopata waziri mwingine
 
Mleta mada anatushtua jinsi mambo ambayo Mzee baba anavyo panga kumtosa Ndugai issue ya CAG ili ije imchachie yeye na Mzee baba kuonekana shujaa.
Habari nilizonazo, Bwana ukaguzi kaombwa na Mzee baba aende tuu Dodoma hakuna kitu kule kisha yeye atafanya kitu kuonyesha wako pamoja.
Hapa ndio ile katuni ya Kipanya inayosema create tatizo kisha litatue.
Kuna lile la Lugola na ma RPC, amri imetoka kupuuza amri hiyo, nani atatoa zaidi ya IGP maana yeye hawezi? Ni Mzee baba. Hivyo tusubiri kuona Lugola akiwa frasturated na zile mbwembwe kwisha
 
Back
Top Bottom