Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ukanda hamna mamba mkuu ukimuona jua wakukodiHalafu rate ya mamba nao kujipatia msosi itaongezeka. Very simple.
Acha utan mbna hapa mtaa wa nyanza maji yapoHata hapa Singida tumekatiwa maji
NyokoTafuteni kanga na t-shirts mlizopewa 2015 Mtengenezee kata za kubebea maji mtoni....
Halafu wahaya si MNA hela ogeeni maji ya dasani au Kilimanjaro... Shwaini
HabahhaNyoko
Laana anayo mama yakoBukoba mna laaan....Mwaaaaafaaaaa
Jamaa una povu vipi umeshajaza pipa ngapi maji???Laana anayo mama yako
Hakuna kitu!ingekuwa jwtz, polisi na magereza wasingeweza kukata! Tatizo kubwa ni serikali kuu sasa kama hadi leo kuna wizara zimepata 16%ya bajeti iliyopitishwa na bunge unategemea nini??? Kuna kipindi NHC walianza zoezi la kuwatoa wadaiwa sugu, wakuu wa ofisi za serikali walikuja juu wakasema anasema hata kama ni ofisi ya serikali watoeni tu wakasema mbona pesa wanakaa nazo hazina huku hawaleti?? Watupe tulichotengewa ndio tulaumiwee!! Likafia hapo hapo!! Huku kutafuta kick bila kuangalia kuwa unaleta usumbufu kwa wengine ni shida. Mimi pesa ya kulipia umeme niitoe mfukoni kwangu??? Nipe nilichoomba then nilaumu.KATA KATA maneno ni mawili KA TA
Ondoeni Rwakatare ili mambo yaende poa!!!Tumeipenda wenyewe...ndindiiii
Kutoka Bukoba
Mamlaka ya maji bukoba (BUWASA) wamekatiwa umeme kutokana na kushindwa kulipa bili ya umeme kwa muda mrefu. Hali hii imefanya mji kukosa maji na inasemekana deni ni kubwa sana kiasi cha kutohimilika na huenda lisilipwe leo wala kesho. Wananchi tumekosa nini kama bili tunalipa tena kwa wakati kwanini tukose huduma muhimu kama hii kwa uzembe wa wafujaji wa ankara za taasisi unaofanywa na watu wachache waliopewa kuiongoza hiyo mamlaka. Hii inatuweka katika wakati mgumu sana sisi wananchi hasa kutokana na milipuko ya magonjwa inayoweza kutukumba. JPM tafadhari baba badirisha namna ya kuwatumbua hawa wasiolipa umeme