mashonga
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 594
- 967
Mamalaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MTUWASA) mkoani Mtwara imelazimika kuagiza mchanga wenye ubora kutoka nchini Uturuki ili utumike kwenye chujio la kusafisha maji yanayotumiwa na wakazi wa Mtwara.
Chanzo: ukurawa wa facebook wa ITV.
Wale wajuzi wa sekta ya maji naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili, au tumerudi zama za upigaji?
Chanzo: ukurawa wa facebook wa ITV.
Wale wajuzi wa sekta ya maji naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili, au tumerudi zama za upigaji?