Mamlaka ya kubaini ni jambo lipi lina maslahi ya umma ni ya rais pekee. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya kubaini ni jambo lipi lina maslahi ya umma ni ya rais pekee.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Feb 20, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kulingana na sheria zilizopo hapa nchini,rais yuko huru kutenda jambo lolote au kutotenda jambo lolote, ikiwa kwa maoni yake anaona kwa kufanya hivyo atakuwa analinda maslahi ya umma; na wala hakuna mtu au chombo chochote chenye mamlaka ya kumuhoji kuhusiana na uamuzi wake huo. Kwa mantiki hiyo rais yuko huru kuilipa Dowans, na baada ya hapo kuhuuisha mkataba wao upya, ikiwa kwa maoni yake kwa kufanya hivyo atakuwa analinda maslahi ya umma. wana jamvi, mmeyapata hayo?
   
Loading...